Hii style mpya ya nywele ya Diamond

Hii style mpya ya nywele ya Diamond

Jsmani mie kama sijaelewa hi I style mpya ya baba ake wa kambo na diamond, ommy dimpozs, yani hizo nywele hazijampendeza kabisa, yupo ka Fido Fido, sujui nsni alimshauri
Picha iko wap sasa
 
Jsmani mie kama sijaelewa hi I style mpya ya baba ake wa kambo na diamond, ommy dimpozs, yani hizo nywele hazijampendeza kabisa, yupo ka Fido Fido, sujui nsni alimshauri
Yani ulivyoandika unaonekana una usingizi wa hatari na kupost unataka

Usiku mwema mkuu
 
Hiyo style mpya inaitwa "Kamatia chini"
 
Jsmani mie kama sijaelewa hi I style mpya ya baba ake wa kambo na diamond, ommy dimpozs, yani hizo nywele hazijampendeza kabisa, yupo ka Fido Fido, sujui nsni alimshauri

Akhsante kwa kuangalia Clouds tv na SHILAWADU yao.
 
Jsmani mie kama sijaelewa hi I style mpya ya baba ake wa kambo na diamond, ommy dimpozs, yani hizo nywele hazijampendeza kabisa, yupo ka Fido Fido, sujui nsni alimshauri
Ukiambiwa utoe ushaidi utatoa unamuita baba yake wa kambo chunga kauli yako usije kujutia mihemko yako
 
Ndo maana halisi ya Kuwa msanii. There should be something of his to talk about. Mind it be good or bad as long as his name keeps reappearing in your conversations. Ulitaka anyoe low cut kama mabank teller? Husisha ubongo blaza
 
warumi, ninakupa offer ya kutengeneza hiyo style saloon yeyote unayopenda, hii ni kwa kujandaa kwa Christmas na mwaka mpya.
 
Back
Top Bottom