Hii style mpya ya nywele ya Diamond

Hii style mpya ya nywele ya Diamond

teh teh huu uzi una vituko sana.....kama una pressure ya kupanda na kushuka mara kwa mara JF Celebrity forum si mahali salama kabis....yani ukisoma comments za humu hatari sana.....
Aaaaaaah aaah na bado, yani kama wana pressure wakiingia humu watakufa kabisa
 
Aaaaaaaah, binamu Mungu anakuona, halafu anatak kushindana na ma handsome akina kiba na ommy ,na hapo tu snapesa, angekua hama sijui ingekuaje, akafanyiwe operation ya sura domo na macho
Na hapo ana hela ndio anajitahidi kujimake up ila enzi zile za nenda kamwambie alikuwa kituko
 
Alivyofanya hivi mlisemaje ........ Na leo mnajadili nywele,na mineno inawatoka.
Diamond.jpg
Aiseee mwanaume kumsifia mwanaume mwenzio yani nashindwa kuelewa kabisa
 
Jamaa anawalazimisha kila siku hasitoke midomoni mwenu.Na msivyojijua mnaingia mkenge tu kwa kumjadili,huku yeye katimiza lengo lake.
Diamond.jpg
Mkubwa kifesi kumbe jamaa huwa anafanya makusudi kujiweka vipini na kujipodoa kama mabinti sasa tutakuja kupeleka barua ya kumchumbia kwa bi sandra waanze kuturaumu!
02e1392ce11808fadbdc2ccef2f1b9de.jpg
 
teh teh huu uzi una vituko sana.....kama una pressure ya kupanda na kushuka mara kwa mara JF Celebrity forum si mahali salama kabis....yani ukisoma comments za humu hatari sana.....
Umeona eee,,kuna watu wapasukaga kama hawna vichwa..
 
Back
Top Bottom