fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,672
Walikuwa wanajadili mpaka meno ya mtoto wa KibaMbona nyie mlijadili suti ya Kiba?
Double standards
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanajadili mpaka meno ya mtoto wa KibaMbona nyie mlijadili suti ya Kiba?
Double standards
Aaaaaaah aaah na bado, yani kama wana pressure wakiingia humu watakufa kabisateh teh huu uzi una vituko sana.....kama una pressure ya kupanda na kushuka mara kwa mara JF Celebrity forum si mahali salama kabis....yani ukisoma comments za humu hatari sana.....
Na hapo ana hela ndio anajitahidi kujimake up ila enzi zile za nenda kamwambie alikuwa kitukoAaaaaaaah, binamu Mungu anakuona, halafu anatak kushindana na ma handsome akina kiba na ommy ,na hapo tu snapesa, angekua hama sijui ingekuaje, akafanyiwe operation ya sura domo na macho
White Masai hajaipenda,na haitokupendeza.Hahahaha! Alafu white Masai ndio ulikuwa unatakiwa unitie moyo nitupie hiyo style
Aiseee mwanaume kumsifia mwanaume mwenzio yani nashindwa kuelewa kabisaAlivyofanya hivi mlisemaje ........ Na leo mnajadili nywele,na mineno inawatoka.
![]()
Hapo sasa!Walikuwa wanajadili mpaka meno ya mtoto wa Kiba
Uko tayari kujibu kila nitakachokuuliza au umechokoza kisha ukimbie .......??Aiseee mwanaume kumsifia mwanaume mwenzio yani nashindwa kuelewa kabisa
Nikujibu wewe kama nani?au umeeambiwa nipo polisi hapa au darasani?Uko tayari kujibu kila nitakachokuuliza au umechokoza kisha ukimbie .......??
Mkubwa kifesi kumbe jamaa huwa anafanya makusudi kujiweka vipini na kujipodoa kama mabinti sasa tutakuja kupeleka barua ya kumchumbia kwa bi sandra waanze kuturaumu!Jamaa anawalazimisha kila siku hasitoke midomoni mwenu.Na msivyojijua mnaingia mkenge tu kwa kumjadili,huku yeye katimiza lengo lake.
![]()
Umeona eee,,kuna watu wapasukaga kama hawna vichwa..teh teh huu uzi una vituko sana.....kama una pressure ya kupanda na kushuka mara kwa mara JF Celebrity forum si mahali salama kabis....yani ukisoma comments za humu hatari sana.....
Peleka tu mkuu kama unajiamini.Mkubwa kifesi kumbe jamaa huwa anafanya makusudi kujiweka vipini na kujipodoa kama mabinti sasa tutakuja kupeleka barua ya kumchumbia kwa bi sandra waanze kuturaumu!![]()
Upo kwenye kudhibitisha unachokisema.Nikujibu wewe kama nani?au umeeambiwa nipo polisi hapa au darasani?
Badala waongee umbea wao,badala yake wanaongea matusi.Naona kufuli Zishatembea[emoji45] [emoji47]
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Badala waongee umbea wao,badala yake wanaongea matusi.