Hii style mpya ya nywele ya Diamond

Zari unadhan anabebaga mimba bila mpangilio, kaona fursa, binamu Lulu nae nasikia Ana tumbo? Hatak ujinga na yy anataka urithi wa milele
Zari ni mjanja na ili kukwepa maneno akamwambia dai amnunulie nyumba south ila acha atumie fursa hata chibu akifulia yeye ana nyumba ya kukaa na wale watoto.
Hata mi niliskia lulu mama kijacho maana hata ukimuangalia usoni kajaa jaa, acha tu ajitulize ka amempata ampendaye asije kuishia ka Wema sepetu.
 
Jsmani mie kama sijaelewa hi I style mpya ya baba ake wa kambo na diamond, ommy dimpozs, yani hizo nywele hazijampendeza kabisa, yupo ka Fido Fido, sujui nsni alimshauri
Picha iko wapi
 
Bora ajitengenezee maisha, maana elimu hana na bongo movie hailipi, mchaga hatak ujinga, ila asijione mke wa trump mobeto nae alipitia kama yy
 
Bora ajitengenezee maisha, maana elimu hana na bongo movie hailipi, mchaga hatak ujinga, ila asijione mke wa trump mobeto nae alipitia kama yy
Lulu si alikua anasoma magogoni au aliacha, ila ukute majizo ana nyota ya kuzalisha na Ku acha, ila Lulu ana akili bana kawazidi bongo movie wengi Ku miliki nyumba mbili si mchezo.
 
isho boy umeongea critical point .

ata yeye lips alizo paka kaiga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji108] [emoji115]
Sijakuelewa hapo kwenye "lips" lips zinapakwa kumbe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Domo Ana gubu ndo maana hanenepi ,anachamba zar snasubiri, hapa kati alipendeza vzur tu cjui mganga gan kamwambia akisuka vile atamfikia Chris brown, kumbe kawa kituko ptuuu
Hahaaaaaaa jamani hata kukosa tuzo kumechangia jinsi alivo
 
[emoji23] [emoji23] povu limekutoka haswaa
 
Nahel mwenzie handsome ana sura, sasa mwenzangu na mm uso kama tumbili katisha na hv kakonda uson kama Ana utapiamlo
Umeonaaee binamu afu na 3600 inamsaidia usoni ana michunusi balaa
 
Bibie hakuna kitu kipya chini ya jua vyote tunavikuta......ukiamua kufuga rasta au afro au unyoe nywere zote au unyoe kiduku kuna pipo kibao washafanya ayo mambo
Mwambieni huyo msanii wenu sio kila kitu anaweza kuiga yaani huu mwonekano umemchukiza bora angebaki na kiduku chake tu, mbona rayvan mashabiki walimwambia na akanyoa
 
Ulimsikia sudy alivyosema? Domo style yake mpya imemfanya awe mcharuko, nywele zimechomoza kama miba ya ikulu, yan ukimuona huwez kumlaumu maneno aliyokua akitoa kwa dimpoz, naana mtu mwenyewe kituko
[emoji23] [emoji23] Soudy alisema eti zile nywele ndiyo zilikua zinampelekea diamond kutokwa povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…