JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,957 Nov 14, 2013 #1 Wana JF, nataka niwe mbunifu wa mavazi, kazi yangu ya kwanza nataka nibuni suruali ya kiume, iwe imetuna hapa mbele, mwanaume akiivaa anakuwa kama ana busha. Wajuzi wa mambo ya masoko saidieni kama itakamata soko.
Wana JF, nataka niwe mbunifu wa mavazi, kazi yangu ya kwanza nataka nibuni suruali ya kiume, iwe imetuna hapa mbele, mwanaume akiivaa anakuwa kama ana busha. Wajuzi wa mambo ya masoko saidieni kama itakamata soko.