Hii suruali itapata soko?

Hii suruali itapata soko?

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,957
Wana JF, nataka niwe mbunifu wa mavazi, kazi yangu ya kwanza nataka nibuni suruali ya kiume, iwe imetuna hapa mbele, mwanaume akiivaa anakuwa kama ana busha. Wajuzi wa mambo ya masoko saidieni kama itakamata soko.
 
Back
Top Bottom