matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Hii ni moja ya taarifa sahihi ambayo unapaswa kuitumia kwenye maisha..
Ukipenda kuigiza unakufakufa, au mchawi au kufanya drama za mizaha ubongo wako hauwezi kutofautisha na pale unapokuwa siriasi.
Ndio maana Mungu anakemea mizaha.
Zaburi 1:1
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Hakikisha hata ukitania utanie kwa kumaanisha maana yatakutokea.
Kqma ukiigiza, igiza kwa taadhari na kwa mipaka usije ukavaliwa na hayo unayoigiza.
Ni hayo tu.
Mtumishi, Matunduizi