matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ubongo wako hauwezi kutofautisha kama wakati huu unatania au uko siriasi. Unaigiza au unamaanisha.Nimetoka kapa
Sahihi kabisa!Hii ni moja ya taarifa sahihi ambayo unapaswa kuitumia kwenye maisha..
Ukipenda kuigiza unakufakufa, au mchawi au kufanya drama za mizaha ubongo wako hauwezi kutofautisha na pale unapokuwa siriasi.
Ndio maana Mungu anakemea mizaha.
Zaburi 1:1
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Hakikisha hata ukitania utanie kwa kumaanisha maana yatakutokea.
Kqma ukiigiza, igiza kwa taadhari na kwa mipaka usije ukavaliwa na hayo unayoigiza.
Ni hayo tu.
Mtumishi, Matunduizi
Anamaanishi hivi, kwa mfano, kama tutasema "ninahisi nina amiba", japo unajua kabisa huna, ubongo wako u aweza kuamini huo "uongo " na hatimaye mwili kuishiwa kuhisi unaumwa.Nimetoka kapa
Basi kuanzia Leo nitakuwa tajiri wa Mali kesho... Yani lazima niwe tajiri kumzidi moo wa simbaAnamaanishi hivi, kwa mfano, kama tutasema "ninahisi nina amiba", japo unajua kabisa huna, ubongo wako u aweza kuamini huo "uongo " na hatimaye mwili kuishiwa kuhisi unaumwa.
Ama utajihisi unaumwa au ubongo itakusaidia kupata amiba ili "unabii" uliojitabiria utimie.
Kwa hiyo, ni bora utanie umenunua Mercedes Benz G wagon ili kama hui "unabii" utatimia iwe faida kwako.
Kama uko serious, uwe unasema hivyo zaidi ya mara elfu moja kila siku!Basi kuanzia Leo nitakuwa tajiri wa Mali kesho... Yani lazima niwe tajiri kumzidi moo wa simba