Hii tabia imeshakuwa kero sana

Hii tabia imeshakuwa kero sana

Mi kukatia gogo mitaani kulishanishindaga mana nimezoea nkitaka kuanza hii shughuli navua nguo zote ili nikate gogo kwa uhuru kabisa, sasa vyoo vya mitaani hii shughuli siiwezi
Hahahahahaha mkuu umetisha
 
Utakuta maji ni mengi mnooo lakini ameshindwa kusafirisha ndinyu, ni ushenzi wa tabia/makuzi ya kichafu hasa mijitu ya kutoka huko!!!!
 
Kwa umri huu niwe na babu si ni maajabu
Unapoandika umri huu hauna babu ina maana asili yako ni ipi?Umezuka tu weye na baba yako halafu ukawa?Haijalishi babu yako alikufa,alifariki au alipotea kwa kuitoroka familia kwa kuzidiwa majukumu.Ni lazima unao hao mababu na mabibi.Think twice "old boy"?
 
Back
Top Bottom