Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
- Thread starter
-
- #21
Hahahahahaha mkuu umetishaMi kukatia gogo mitaani kulishanishindaga mana nimezoea nkitaka kuanza hii shughuli navua nguo zote ili nikate gogo kwa uhuru kabisa, sasa vyoo vya mitaani hii shughuli siiwezi
Weye unadhani hata babu yako hana kaka zake?Unanikosea adabu kuniita bwana mdogo ili hali nina wajukuu
Kwa umri huu niwe na babu si ni maajabuWeye unadhani hata babu yako hana kaka zake?
Wanakera sanaUtakuta maji ni mengi mnooo lakini ameshindwa kusafirisha ndinyu, ni ushenzi wa tabia/makuzi ya kichafu hasa mijitu ya kutoka huko!!!!
Tena jitu zima aisee!!!?Wanakera sana
Ninachokuambia kuna ofisi moja jengo la Nssf mwanza ni karaha tupu chooni kama wanatumia waleviTena jitu zima aisee!!!?
Unapoandika umri huu hauna babu ina maana asili yako ni ipi?Umezuka tu weye na baba yako halafu ukawa?Haijalishi babu yako alikufa,alifariki au alipotea kwa kuitoroka familia kwa kuzidiwa majukumu.Ni lazima unao hao mababu na mabibi.Think twice "old boy"?Kwa umri huu niwe na babu si ni maajabu
Dah inakera sana!!!!Ninachokuambia kuna ofisi moja jengo la Nssf mwanza ni karaha tupu chooni kama wanatumia walevi
Id yako is very fine!,Ila ungejiita "chai tembele" au "juisi ya bamia" you could have conquered the evil regime of stonetangawizi abruptly!Dah inakera sana!!!!