HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Wadada sioni tatizo, ila kwa mtoto wa kiume na nguvu zako unaenda sehemu/kumbi za starehe kuomba omba pombe!Kwa huku mwanza ni vice vesa yaani wadada ndio waomba vinywaji,atajisogeza karibu na kuanzisha story za uongo na kweli kisha ataomba bia, hii hunitokea mara nyingi na last time niko zangu las Vegas nakula vyombo usiku dada mmoja kanishobokea eti twende diamond kule ndio kuna amsha amsha,nikamuangaliaaaaa nikamuuliza kwani tulikuja wote mimi na yeye!!
Hili ni jambo la kustaajabisha sana