Wadada sioni tatizo, ila kwa mtoto wa kiume na nguvu zako unaenda sehemu/kumbi za starehe kuomba omba pombe!Kwa huku mwanza ni vice vesa yaani wadada ndio waomba vinywaji,atajisogeza karibu na kuanzisha story za uongo na kweli kisha ataomba bia, hii hunitokea mara nyingi na last time niko zangu las Vegas nakula vyombo usiku dada mmoja kanishobokea eti twende diamond kule ndio kuna amsha amsha,nikamuangaliaaaaa nikamuuliza kwani tulikuja wote mimi na yeye!!
Nashindwa kabisa kuelewaKijana wa kiume anaomba kinywaji???
Attention seekers mna shida sana....
Ni nchi nzima ya Tanzania ipo hivyo sababu ya umasikini uliotopea...hii kujifaragua ni Musoma tu ni namna fulani ku-undermine eneo na watu wake
Nchi nzima ni ombaomba...usibague!
Siko mwenyewe,niko na wenzangu tena wamo humu humu
Mtu akishakua zaidi ya mmoja sio MIMI tena ni SISI
Usitupangie tujiite MIMI
Rest assured kwenye SISI wewe haupo,kwahiyo huna haja ya kupanda nyege kwenye group la watu wasiokuhusu
Shida unadhani mtu akisema SISI amejumlisha na wewe au nyie..ni mimi na wenzangu wapo humu humu na ninao DM kuhusu topic hii hii,sina haja ya kukutajia majina yao sababu wewe ni useless kwetu
Kila mtu afate group lake,fata lako!
Nashindwa kuwaelewa
Hawa ni walevi wawili wamekutana baa,mmoja kamuomba mwenzake pombe
Cha ajabu ni kipi hapo?
Nani kakwambia pombe ni starehe?
Pombe ni kinywaji kama ilivyo kinywaji kingine
Huwezi niambia wavuta sigara wawili wamekutana pahali pa kuvutia sigara,mvutaji mmoja kamgongea kipisi mwenzake,akampa,sijui unajenga hoja gani kumnyima kuvuta?
Kila mwanadamu ana lake jambo
Viumbe visivyokua na conciousness ndio havina jambo....
Kwavile jambo langu ni tofauti na jambo lako,usije kusema eti "Mimi tu ndie mwenye jambo" ila wewe hapana.
Mkuu
Huyu mwanadamu kapita baa moja,kaombwa pombe na walevi wenzie,anakuja kutulalamikia kuombwa pombe baa
Wamekutana baa,cha ajabu ni kipi?
Baa moja na walevi wawili watatu waliokuomba pombe sio mkoa mzima na sio watu wote wa Musoma
By the way,mimi ni mtu wa Moshi na mwenyeji wa Moshi,sio Musoma
Mimi ni contrarian,sipendi mtu aseme kitu bila kupingwa kwa another side of the story,watoa mada huwa hawanipendi maana hawapendi kuchalenjiwa upande mwingine ambao walisahau kuuona!
Ni ajabu mlevi kuomba pombe kwa mlevi mwenzie?
Ni ajabu mvuta sigara kugongea sigara kutoka kwa mvutaji mwenzie?
Unajua utamaduni wa "kugongea fegi" wa wavuta sigara?
Wewe si mvutaji,hujui lolote!
"kugongea fegi" kwa wavutaji sigara na bangi ni utamaduni unaoheshimika na kuthaminiwa....
Nimeshangaa hujui hili,nikagundua wewe utakua mamluki,hujawahi vuta chochote!
Uzi nimeulewa na hoja za mleta mada nimezielewa zaidi yako wewe
Mkuu
Its crazy anae dhalilika ni mimi ila wewe ndio matako yanakuuma,kwanini?
Credits zangu zitashuka,nilikua nazo to begin with?
Sipo JF na credits zozote,kila mtu afate maisha yake,kama wewe una credit ndani ya JF ni wewe,and worry for yourself sio mwingine!
Natetea maana ni sahihi kabisa mlevi kumuomba mlevi mwenzie pombe!
Taifa linayumba sababu ya Mawe,yeye ndio ana madaraka yote na maamuzi yanayo athiri watu milioni 60 kwa wakati mmoja,mimi msukuma mkokoteni nina maamuzi gani ya kuathiri watu wangapi nchi hii?
Kila kitu ni Magufuli,anapofeli anafelisha watu milioni 60,ndio maana tunamlaumu kwa kila kitu,na rightfully so!
Ikiwa starehe kwako sio kw wote
Wewe mwehu nini
Mlevi umeombwa pombe na mlevi mwenzio,nothing new hapo...
Acha ukichaa
Muambie muhusika uliekutana nae baa sio sisi huku JF
Ni upumbavu habari za walevi wawili walizofanya baa kutuletea sisi JF tutoe judgement....
Mlevi mmoja tajiri,mwingine masikini,masikini kamuomba tajiri pombe,huyo tajiri anakuja JF kulalamika eti kaombwa pombe na mlevi mwenzie?
What a stupid move?
Malizaneni huko baa,sisi hatuhusiki
Sisi haituhusu,nimekutaja wewe?
Wewe ndio "SISI"?
Wewe sio SISI,wewe ni wewe!
Naona unajishuku sana,as if upo kwenye group nililolizungumzia
Haupo
Wewe umeenda baa,mlevi mwenzio kakuomba pombe,unatuletea sisi huo mjadala tukusaidie nini?
Kwanini usimwambie huyo mlevi mwenzio usichokipenda?Unakuja kutuambia tukusaidie kumwambia sisi tunamjua huyo mlevi?
Umeenda baa,watangazie walevi wenzio humo baa kua hutaki mtu akuombe chochote,usituambie sisi maana hakuna mtu humu alishakuomba pombe
Kwa kifupi unaleta kesi kwenye audience isiyohusika!
Mimi ni mtu kama ulivyo wewe....
Najizungumzia mimi na wenzangu tukajipa jina SISI,wewe hauhusiki na "SISI"
Unajipendekeza na SISI nayozungumzia wakati haumo humo ndani....nikisema SISI,ni mimi na wenzangu sina haja ya kukutajia...ila elewa haupo kwenye hiyo list ya SISI
Hivyo relax and mind yo' own business!
Dada kuna kitu kinaitwa Free Speech
Naongea navyotaka,na wewe pia ongea ukitaka
Huwezi pangia watu waongee au wasiongee....
Nashangaa una characterize eti watu wanabweka sababu tu tumetoa comments ambazo hujazipenda
Comments zangu zote ungekua umezipenda au zipo upande wako usingesema "nabweka"
Jifunze kukaa na wanadamu wenye mrengo tofauti na wewe
Sio kila mwanadamu atakua mrengo unaopenda wewe
Jifunze kuishi na sisi,huwezi hama dunia nenda Mars...maana there is no way eti dunia nzima tuwe upande unaopenda wewe
I'm sorry,I cant help you!
Dada
I give a hooting azz wanadamu wangapi kwenye mjadala wapo upande wangu
Tena wapinzani wangu wanapokua wengi the better!
Who cares?
Haya ni mabishano ya internet with the internet characters,you dont know me,I dont know you,who cares?
Get a grip lady!
Katoa mada kwa free speech na mimi napinga kwa free speech
Cha ajabu wewe hutaki sisi tunaopinga tuongee,
Yaani unataka kufuta free speech kwa wanaopinga
Hiyo ni crime unafanya against human rights!
Decision sahihi zaidi ni kwa mtoa mada kuwaambia wahusika ambao ni walevi wenzake huko baa
Kuja kutuambia anaruhusiwa ila ni wrong audience!
Mimi nilikua nachakata ubovu wa maamuzi yake ya kuja kutuambia sisi wakati sisi hatujawahi muomba pombe popote....maana wahusika walio muomba pombe ndio sahihi wa kuwaambia
Mimi nilikua namuonesha ubovu wa hoja zake kutuletea
Siwezi piga mtu marufuku kuongea,thats not my job na ni waste of my time hata nikisema nifanye..ni useless
Mleta mada yupo free kiasi kwamba cha hata kua mjinga kwa kuleta hii mada kwa watu wasiohusika kabisa na vitendo anavyoongelea hapo Musoma walivyomfanyia!
Mengine unahisi hisi tu au haujaelewa hoja zangu sawa sawa,of which upo free kutokuelewa ndio maana unateseka sana!
Siko mwenyewe,niko na wenzangu tena wamo humu humu
Mtu akishakua zaidi ya mmoja sio MIMI tena ni SISI
Usitupangie tujiite MIMI
Rest assured kwenye SISI wewe haupo,kwahiyo huna haja ya kupanda nyege kwenye group la watu wasiokuhusu
Shida unadhani mtu akisema SISI amejumlisha na wewe au nyie..ni mimi na wenzangu wapo humu humu na ninao DM kuhusu topic hii hii,sina haja ya kukutajia majina yao sababu wewe ni useless kwetu
Kila mtu afate group lake,fata lako!
Najimwambafai,hutaki andamana
Usipangie watu maisha hapa JF
Wewe nani ukatae watu wasijimwambafai?
Unajipa vyeo visivyo vyako....what a loser!
Siingii baa kufanya lolote...
Mimi sio mlevi kama wewe
Nachojua Baa za Dar zinafukuza hao wanaoomba,wanasimama nje ya hizo baa
Still the same issue....
Baa hii inawaacha wanaingia,Baa za Dar zinawafukuza wanasimama nje,wanakuomba wakati unaingia
Still,hoja yangu ya mwanzo kabisa ni sahihi,kwamba nchi nzima ni masikini na ombaomba,tofauti ni staili...hawa nje hawa ndani
Sijui hamuelewi nini?
Sijui maana ya chakula
Tueleweshe bwana Chakula
Kama ulisoma Biology definition ya Food tulifundihswa inasema:
"Food is any substance consumed by an organism to provide nutritional support"
Sasa tueleweshe nini maana ya FOOD kutokana na ubongo wako wewe binafsi!
Mtu anaruhusiwa kuua au kufanya lolote ilimradi a-survive
Definition ya ku-survive ni yake sio yako
Kwake yeye kunywa pombe ni ku-survive...which is totally definition tofauti na yako!
Jukumu la ku-survive ni la msingi la mwanadamu...yeye anatimiza wajibu wake wa kusurvive
Sijui kwanini hua mnadhani mtu akitetea hoja ya mtu fulani basi mtu huyo nae anafanya hivo
Thats wrong
Sinywi pombe mzee....
Kama pombe haina umuhimu wewe ulifata nini baa?
Wewe unapoomba misaada kwa wenzako ian umuhimu gani kwao?Kwanini wewe pia usiwe na hela zako binafsi usiombe misaada?Lakini unaomba regardless
Na wewe kama unaona huna hela za kuishi dunia hii usiombe yeyote msaada wowote kabisa,cha ajabu unaomba washikaji wako misaada kila siku ila hatusemi
Kusaidiwa sio haki,mlevi kaomba pombe kwa mlevi mwenzie,hakumpa,basi yameishia hapo,cha ajabu mpaka umekuja kutoa uzi,maajabu
Ushaibiwa mara kibao,ushamnyuka nani?
Acha kujifaragua
Mbwembwe kila siku,unapiga picha hadi na bunduki cha ajabu unaibiwa kila siku,na hujawahi nyuka yeyote aliekuibia,hujawahi...weka ushahidi hapa,huna!
Hiyo ni observation yako binafsi
Unaruhusiwa kutoa maoni
Mwingine atakuja na mtazamo kinyume na wewe kabisa
Tuishie kusema,kila mtu na mtazamo binafsi kuhusu Musoma....!
Wewe kila wakati kwenye simu yako unaomba washikaji wako misaada mbalimbali ya mikopo ya pesa....hiyo nisahihi,ila mlevi mwenzio mliyekutakan kwenye ulevi akikuomba pombe ni vibaya?
Kama mnaweka double standards namna hii basi ni sawa!
Mimi sio mlevi,huwezi nikuta baa yeyote nafanya chochote!
Wewe kama unaona huhusiki kaa kimyaMuambie muhusika uliekutana nae baa sio sisi huku JF
Ni upumbavu habari za walevi wawili walizofanya baa kutuletea sisi JF tutoe judgement....
Mlevi mmoja tajiri,mwingine masikini,masikini kamuomba tajiri pombe,huyo tajiri anakuja JF kulalamika eti kaombwa pombe na mlevi mwenzie?
What a stupid move?
Malizaneni huko baa,sisi hatuhusiki
Lazima aseme huku ili hiyo tabia ikemeweSisi haituhusu,nimekutaja wewe?
Wewe ndio "SISI"?
Wewe sio SISI,wewe ni wewe!
Naona unajishuku sana,as if upo kwenye group nililolizungumzia
Haupo
Wewe umeenda baa,mlevi mwenzio kakuomba pombe,unatuletea sisi huo mjadala tukusaidie nini?
Kwanini usimwambie huyo mlevi mwenzio usichokipenda?Unakuja kutuambia tukusaidie kumwambia sisi tunamjua huyo mlevi?
Umeenda baa,watangazie walevi wenzio humo baa kua hutaki mtu akuombe chochote,usituambie sisi maana hakuna mtu humu alishakuomba pombe
Kwa kifupi unaleta kesi kwenye audience isiyohusika!
Dah wewe umepiga mle mle elfu tano yako mpaka uvimbiweUmenikumbusha Mara dish, hivi bado ipo
Siingii baa kufanya lolote...
Mimi sio mlevi kama wewe
Nachojua Baa za Dar zinafukuza hao wanaoomba,wanasimama nje ya hizo baa
Still the same issue....
Baa hii inawaacha wanaingia,Baa za Dar zinawafukuza wanasimama nje,wanakuomba wakati unaingia
Still,hoja yangu ya mwanzo kabisa ni sahihi,kwamba nchi nzima ni masikini na ombaomba,tofauti ni staili...hawa nje hawa ndani
Sijui hamuelewi nini?
Huyo dogo anaitwa frank alafu ni puga na mwizi kukuunganishia demu likakupiga ni kugusa tuNdio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegeda
Hapo hapo ghorofani na hapo chini chama la wanaMnasema ghorofani sehemu gani? Karibu na Bank ya NBC maeneo ya Ilipokuwa Pm bet au wapi? Nikaone hayo maajabu nikanunulie watu pombe niletewe watoto niondoke nao kama steering vile nimeua jambazi kuu
Musoma mjini hamna wakurya..wakurya wako Tarime na hawana mambo ya kisenge ni watafutaji hapo musoma kuna wajita na wakywaya hawa aiseee ni porojo uvivu na uchawiWatu wa dar bwana!
Kwa akili yako ukiskia musoma unajua moja kwa moja ni kwa wakurya?
Kwa taarifa yako musoma kuna makabila zaidi ya 10 na hpo musoma mjini kuna mchanganyiko wa makabila mengi ingawa wajita ndio wengi.
Puga inamanisha niniHuyo dogo anaitwa frank alafu ni puga na mwizi kukuunganishia demu likakupiga ni kugusa tu
PungaPuga inamanisha nini
YesPuga inamanisha nini
Mvua ziliharibu vibaya sana hapakua na beach tena kuanzia mativila beach tembo beach, bwalo la polisi vile vimisonge vilikuwa ndani ya maji mtaa wa uzunguni watu walihama maji yalikutanaKuna kipindi nilienda hapo palikuwa pazuri niliogelea sana
Alitakiwa apaendeleze maana alikiwa anapata watalii kibaoo
Rudia tena hapo kwamba Musoma ni wa nini?Musoma ni wahuniwahuni, nimekaa maeneo ya nyasho alichokisema mtoa mada yupo sahihi. Kunatabia ambazo hazipatikani kwingine.