Hii tabia ni mke wangu tu au?


Umenifurahisha sana, u know hata mimi nikiwa mdogo tulikuwa tunazozana sana ma maza,esp nilipokuwa namwendesha kwenye gari. Ku keep time ni ishu. Siku moja mshua ananiambia ni kati ya vitu ambovyo ni lazima kuvikubali kuhusu women. Nimekua nayaona sasa
 
Sikupata nafasi ya kupitia michango ya wenzangu hivyo kama nitarudia kilichoandikwa tayari ...sorry for that....I had almost similar problems....mnataka kutoka out hakikisha unamsubiri for half an hour wakati tangu asbh ana hiyo taarifa na pengine umesisitiza kwa simu before... u know what i did.....nikisubiri for 5 minutes off i go.....ukitaka chukua taxi, panda dala dala au vua nguo upande kitandani ulale is up to you....na kama ni kwenda/kurudi ofisini do the same nakuhakikishia ukifanya hivyo mara mbili atajirekebisha na la hajirekebishi basi NI SIKIO LA KUFA..... sio siri dk 5 za kumsubiri mtu mzima tena kwenye gari zinatosha zaidi ya hapo come what may.....
 

Hii imetulia sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani lazima kushare usafiri? Umuhimu wa ndoa uko chumbani tu. beba gharama nunua gari nyingine kisha mkiamka asubuhi kila mmoja akiamka aendelee na hamsini zake jioni mkutane chumbani tena
 
Sarikok , Vp Kuhusu Mshahara wake
 
Last edited by a moderator:
Lol! Nilipitwaje?
Ndo starehe ya ndoa muache mama wa watu ajinafasi! Sasa kuna wanaume wao ndo wanasubiriwa! Akiona mke punctual sana, anajiachia. Utakaa hadi lipstick ikaukie, lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…