Hii tabia ni mke wangu tu au?

Hii tabia ni mke wangu tu au?

Yaaani mbavu sina,unajuwa JF ni more than nothing,haya mambo mie yameshanitokea sana na nikafikiri kuwa ni wa kwangu tu ndio yuko hivyo,nimeshamuacha mara kibao lakini hakomi,mwishowe nimeamua ninyamaze tu maana mpaka saa nyingine namuonea huruma,akishasikia nimewasha gari anajua ntamuacha tu hivyo kidogo inamfanya awahishe kujipodoa,sasa hivi nimeamua awe anaanza yeye kuoga halafu baada ya dakika kama 10 ndio na mimi naingia bafuni ili angalau inapofikia muda wa kutoka tutoe droo.Anyways leo ni me-proove kuwa ni tabia yao kwani inanikumbusha hata mama yangu naye alikuwa anazozana sana na mzee wangu kwa jambo hili.God create dem women we must treat dem tenderly and i do adore my wife so dearly n won't treat her harsh anymore.

Umenifurahisha sana, u know hata mimi nikiwa mdogo tulikuwa tunazozana sana ma maza,esp nilipokuwa namwendesha kwenye gari. Ku keep time ni ishu. Siku moja mshua ananiambia ni kati ya vitu ambovyo ni lazima kuvikubali kuhusu women. Nimekua nayaona sasa
 
Sisi tunatumia gari moja namshusha ofisini kwake na jioni nampitia tunarudi.. sasa asubui toka tunaamka mpaka tuaondoka yeye ni kutoa maagizo tu..... sasa kali zaidi wakati ndo tunatoka ndani kuelekea parking..Men, it takes another 5 to 10 mnts mpaka afike. Anaanza upya, - mmenielewa?...usahau.... watoto muhakikishe.....usafi ... Sasa na wakati wa kumpitia jioni kurudi nyumbani nampigia simu namwambia baada ya nusu saa nitakua hapo.. yaani nikifika it will take another 15 mnts atoke huko ofisini.. ukimuuliza eti nilikua nazima computer.... mwanzoni ilinipa shida sana ila imebidi nizoee tu... kama nawai mahali lazima nianze kuondoka 1hr before. But ilove her to death.
Sikupata nafasi ya kupitia michango ya wenzangu hivyo kama nitarudia kilichoandikwa tayari ...sorry for that....I had almost similar problems....mnataka kutoka out hakikisha unamsubiri for half an hour wakati tangu asbh ana hiyo taarifa na pengine umesisitiza kwa simu before... u know what i did.....nikisubiri for 5 minutes off i go.....ukitaka chukua taxi, panda dala dala au vua nguo upande kitandani ulale is up to you....na kama ni kwenda/kurudi ofisini do the same nakuhakikishia ukifanya hivyo mara mbili atajirekebisha na la hajirekebishi basi NI SIKIO LA KUFA..... sio siri dk 5 za kumsubiri mtu mzima tena kwenye gari zinatosha zaidi ya hapo come what may.....
 
Ndivyo walivyo. Mimi wa kwangu nilimpa funzo mara mbili na alishabadilika. Siku ya kwanza chakula kilichelewa kwa kujizungushazungusha na wasaidizi wake, nikawasha gari nikaenda kula nyama choma. Siku nyingine akachelewa kujiandaa kwenda kazini na kutoa maelekezo ambayo mengine yangetolewa jioni, nikawasha gari nikaondoka na nikapita ofisini kwao na kugeuza gari na kwenda ofisini kwangu. Niliporudi jioni nikaja na kilo ya kitimoto ikiwa imesheheni chilli, tomato sause na kachumbali, kicheko juu. Hadi leo ana panctuality ya hali ya juu
ONYO
Tafadhali usiige mbinu hii maana kwa wanawake wengine hii inaweza kuleta mgogoro mkubwa sana

Hii imetulia sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani lazima kushare usafiri? Umuhimu wa ndoa uko chumbani tu. beba gharama nunua gari nyingine kisha mkiamka asubuhi kila mmoja akiamka aendelee na hamsini zake jioni mkutane chumbani tena
 
Sarikok , Vp Kuhusu Mshahara wake
 
Last edited by a moderator:
Lol! Nilipitwaje?
Ndo starehe ya ndoa muache mama wa watu ajinafasi! Sasa kuna wanaume wao ndo wanasubiriwa! Akiona mke punctual sana, anajiachia. Utakaa hadi lipstick ikaukie, lol!
 
Back
Top Bottom