Hii tabia ni mke wangu tu au?

Hii tabia ni mke wangu tu au?

Haya ya kawaida bro, mambo ni kuvumiliana na kurekebishana kwa njia ya utu. Hamna mtu hana kasoro.
 
yote mema ila moja ni kuu ni upendo ukiwa na upendo utamsaidia mke shughuli ndogondogo ili muwahi kutoka sio kupiga honeya gari tuu,,,, badilikeni pls
 
kwa zile couple ambazo hazimiliki magari sijui wao wana-cope vipi.... mume anawahi kituo cha daladala kudandia mchuma wakati mama anafuata nyuma teh teh teh
 
Hasante sana kwa kunielimisha... yaani kama umesoma vizuri nimeandika nishamzoea, inamaana mbinuzote hizo nilishazifanya... house girl ana ratiba zote za usafi, mlo wa watoto na mlo wetu hata nikaweka na simu kabisa kama kuna kitu kinamtatiza tupigie. I think ni hulka tu ya mtu. Kikubwa ni kumuelewa na kumpenda zaidi.
hahaha ndugu. kuna usemi usemao kuwa mwanaume yuko kwa ajili ya kusubiri na mwanamke yuko kwa ajili ya kusubiriwa. hii maana yake ni kuwa kama kuna kitu anafanya lazima ahakikishe kiko sawa so kama unangoja nje, itabidi tu uwe mvumilivu.

Hii maana yake sio kusubiriwa kuwa amekaa tu ila huwa wanataka kuhakikisha kuwa wanachokifanya au kukiagiza kinafanyika kama anavyotaka ndio maana utakuta kama anatoa maagizo hizo umenielewa haziishi na kama ndio anajipara yaani mpaka anabeba pochi atoke utakuta bado anarudi kujihakikisha kwenye kioo sa kama unataka mwende sambamba msubiri yeye amalize kujiaandaa halafu wewe ndio ujiandae so ngoma itakuwa droo hakuna kusubiriana.

manachokosea nyie ndo mnatangulia kuingia bafuni wakati yeye bado yuko jikoni wewe ukiisha vaa yeye ndio anaingia bafuni hapo utakesha kwa kusubiri. Yaani kiukweli asilimia kubwa tuko hivyo. ila kitu kingine ujue wanawake wanajua sana ku- keep time kuliko wanaume. mimi mara nyingi nikiwa na appointment huwa sichelewi.
 
Sisi tunatumia gari moja namshusha ofisini kwake na jioni nampitia tunarudi.. sasa asubui toka tunaamka mpaka tuaondoka yeye ni kutoa maagizo tu..... sasa kali zaidi wakati ndo tunatoka ndani kuelekea parking..Men, it takes another 5 to 10 mnts mpaka afike. Anaanza upya, - mmenielewa?...usahau.... watoto muhakikishe.....usafi ...

Sasa na wakati wa kumpitia jioni kurudi nyumbani nampigia simu namwambia baada ya nusu saa nitakua hapo.. yaani nikifika it will take another 15 mnts atoke huko ofisini.. ukimuuliza eti nilikua nazima computer.... mwanzoni ilinipa shida sana ila imebidi nizoee tu... kama nawai mahali lazima nianze kuondoka 1hr before.

But ilove her to death.

Mwanamke hata awe msomi wa kiwango gani maana ya muda hajui,akikuambia nipo tayari ujue atakuwa tayari.
 
Hongera kaka mkeo ni smart kwa kila anachofanya.Tatizo watu wengi hawajajua kuwa ndoa inaweza kufanywa kuwa paradiso ndogo na wanandoa wenyewe.Muulize vizur kinachokuwa kinamchelewesha nini,utaona ni muhimu kwako na wewe pia.
 
cha muhimu hapo ni unampenda...Couple nyingi wangekua wanapitia na kupelekana makazini hata foleni hapa mjini zingepungua
 
Huyo mwanamke ana dharau za hali ya juu. Hajui kuheshimu muda wala kumheshimu mumewe. She is "self centered".
sasa ww naona unataka kugombanisha wa2. kwanza kama ni F bac hujaolewa na kama ni M bac hujaoa. kaa kimya wenye ndoa 2ongee. Mkuu endelea kumpenda mkeo wanawake wote wapo hivyo esp wenye watoto tayari so usichoke kumhimiza aharakishe mizunguko yake, kitu kingine mwamshe mapema zaidi yako, na mwambie ww ukiamka tu hutapoteza zaidi ya nusu saa atakuelewa tu one day.
 
NNao tena wawili, nipo kwenye harakati za kutafuta wa tatu na vigezo niliviweka humu JF, pitia pitia utavikuta.

"Samaki mkunje angali mbichi". Labda hilo tatizo mnalo nyinyi wa "dot com", sisi wa "baby boom" wake zetu hawana upuuzi huo. Ukimwambia saa 5 tunatoka anakuwa tayari kabla ya saa 5, ukimwambia nakuja kukupitia saa 4, basi saa 4 kasoro dakika tano yupo tayari anakungoja.
 
hizo ni dalili umelelewa na mama peke yake (mtoto wa mama)
hehehe.. Bra-J in human we have Matriachy we do not have Patriach na kama ipo ni ya kulazimisha. So back to your point ,your very very wright - my mama raised me... tena raised me to be a strong and caring husband.
 
JF mwanzo mwisho. Mume wangu angekuwa member ningesema leo kaamua kutoa siri za ndani; maana huyu wife wa jamaa ana tabia kama zangu; mume wangu akija nipitia job analalamika eti kwa nini sikuzima computer na amenipigia kuwa anakuja.

Jamani; yani nizime computer wakati sijuhi exactly utachukua muda gani kwenye foleni; kuweni fair kidogo. Wakati mwingine nasema ngoja nifuate masharti basi nazima; afu nakaa saa nzima jamaa hajatokea.

Kuna siku ilikuwa tunatoka jioni; sasa yeye si unajua tena akitia t shirt yake na jeans kamaliza; mimi niangalie hereni ziko wapi, wanja lipstick sijuhi nini; huwezi amini alisusa. Namwambia twende, ooh nimegaili naangalia mechi.
Nkamwambia lete funguo mi najisikia kutoka... mbona alichanganya miguu kuelekea garini.

Hiyo ndo raha ya ndoa; lazima mtu akubore bana kidogo, otherwise kila kitu kikiwa kwenye mstari maisha yatachosha. Lol.

Hehehe umenichekesha.... Its true ndoa bila vituko kidogo hainogi. Umenikumbusha siku moja nilimsusia gari nikawa naenda kupanda dala dala..... nimefika ktiuoni dakika mbili tu nae huyu huku anahema. Namuuliza kulikoni? anajibu eti aachwi mtu hapa mguu kwa mguu. Nikamuuliza si nimekuachia gari? Akanijibu leo anajisikia kupanda daladala. Jioni tumerudi katika kupiga story ndo akaniambia alilikimbia gari kwa sababu ya mafuta, kumbe alichungulia geji ya mafuta akaona haijakaa vizuri .... tulicheka sana.
 
Aah. Ndoa zina vituko...

Ndo walivyo, jizoeshe kumuacha mara moja moja akikuweka sana, atanuna lkn atakuelewa na kuanza kuwa punctual, kwangu imefanikiwa hy njia
 
kwa zile couple ambazo hazimiliki magari sijui wao wana-cope vipi.... mume anawahi kituo cha daladala kudandia mchuma wakati mama anafuata nyuma teh teh teh

Kama unalo ucwazarau wengine wewe vipi mkuu.
 
Sisi tunatumia gari moja namshusha ofisini kwake na jioni nampitia tunarudi.. sasa asubui toka tunaamka mpaka tuaondoka yeye ni kutoa maagizo tu..... sasa kali zaidi wakati ndo tunatoka ndani kuelekea parking..Men, it takes another 5 to 10 mnts mpaka afike. Anaanza upya, - mmenielewa?...usahau.... watoto muhakikishe.....usafi ...

Sasa na wakati wa kumpitia jioni kurudi nyumbani nampigia simu namwambia baada ya nusu saa nitakua hapo.. yaani nikifika it will take another 15 mnts atoke huko ofisini.. ukimuuliza eti nilikua nazima computer.... mwanzoni ilinipa shida sana ila imebidi nizoee tu... kama nawai mahali lazima nianze kuondoka 1hr before.

But ilove her to death.

Mkuu kawaida ya wanawake., mimi mara nyingi naambiwa nipo kwenye lift, but unamsubiri chini zaidi ya 10 mins. One time nilichoka nimempigia simu kuwa ntampitia baada ya lisaa maana tulikuwa tunaenda somewhere na alikuwa ameshatoka kuoga, baada ya saa moja nafika kwake anasema afadhali umekuja, nivae nguo gani hapa. Khaaa nilichokaje, ilibidi nimsubiri kwa kama nusu saa hivi. Ila nimeshazoea mkuu, so do you.
 
Ndivyo walivyo, wangu nimeshamzoea imebidi niwe mpole tu.

Back
Top Bottom