The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Mfano, mdada anauza duka au anatoa service yoyote, ikatokea nikammpenda au kumtamani kingono
Sasa, nikamtongoza na akanikataa, asee Huwa nasitisha kwenda dukani kwake kupata huduma, Hilo duka na hama nakwenda sehem nyingine.
Kuna kaduka kopya mtaani kwetu na kuna pisi mkali, asee nimekatongoza , kamechomoa , na dukani kwake siendi tena .
Sio Kwa ajili ya aibu ya mkatoa , ila basi ni Ile ubaya ubwala..
Hii inatokea sana kwangu , kwako vipi ?