Hii tabia ninayo Mimi tu au hata wewe?

Hii tabia ninayo Mimi tu au hata wewe?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Mfano, mdada anauza duka au anatoa service yoyote, ikatokea nikammpenda au kumtamani kingono

Sasa, nikamtongoza na akanikataa, asee Huwa nasitisha kwenda dukani kwake kupata huduma, Hilo duka na hama nakwenda sehem nyingine.

Kuna kaduka kopya mtaani kwetu na kuna pisi mkali, asee nimekatongoza , kamechomoa , na dukani kwake siendi tena .

Sio Kwa ajili ya aibu ya mkatoa , ila basi ni Ile ubaya ubwala..

Hii inatokea sana kwangu , kwako vipi ?
 
Mimi hata salamu sitoi,ila haya ni mapungufu sana!
 
Hivi kwa kingereza ukitaka kusema "mimi ni moto wa kuotea mbali" ndio unasema vipi?
 
Mfano, mdada anauza duka au anatoa service yoyote, ikatokea nikammpenda au kumtamani kingono

Sasa, nikamtongoza na akanikataa, asee Huwa nasitisha kwenda dukani kwake kupata huduma, Hilo duka na hama nakwenda sehem nyingine.

Kuna kaduka kopya mtaani kwetu na kuna pisi mkali, asee nimekatongoza , kamechomoa , na dukani kwake siendi tena .

Sio Kwa ajili ya aibu ya mkatoa , ila basi ni Ile ubaya ubwala..

Hii inatokea sana kwangu , kwako vipi ?
Pengine anakutega aone kama upo seriasi we unasusa?.
 
Back
Top Bottom