The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Mimi hata salamu sitoi,ila haya ni mapungufu sana!Mfano, mdada anauza duka au anatoa service yoyote, ikatokea nikammpenda au kumtamani kingono
Sasa, nikamtongoza na akanikataa, asee Huwa nasitisha kwenda dukani kwake kupata huduma, Hilo duka na hama nakwenda sehem nyingine.
Kuna kaduka kopya mtaani kwetu na kuna pisi mkali, asee nimekatongoza , kamechomoa , na dukani kwake siendi tena .
Sio Kwa ajili ya aibu ya mkatoa , ila basi ni Ile ubaya ubwala..
Hii inatokea sana kwangu , kwako vipi ?
I'm a fire of dreams me far awayHivi kwa kingereza ukitaka kusema "mimi ni moto wa kuotea mbali" ndio unasema vipi?
Pengine anakutega aone kama upo seriasi we unasusa?.Mfano, mdada anauza duka au anatoa service yoyote, ikatokea nikammpenda au kumtamani kingono