ndugu wana jf ninachukizwa sana na hii tabia ya akina dad/kaka kuweka post zao za kutafuta wachumba na kuelekeza kama upo tayar u PM na anasema yupo serioslly na baada ya hapo watu ambao kweli wanahitaj mchumba wana PM na kuacha anwan inaweza kuwa namba na kuimba mtafutane baada ya hapo mtu ana kaa kimya sasa kwa nn asitoe taarifa kama amesha mpata.sasa je huo ndio u serios uliokuwa unazungumzia? achen mkisha weka bandiko mjibu basi kama usha mpata kama hauja mpata bas malengo ya kuweka uzi utimie
http://www.google.com
http://www.google.com