Hii tabia sio nzuri hata kidogo.

Hii tabia sio nzuri hata kidogo.

IBRAAH

Senior Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
161
Reaction score
47
ndugu wana jf ninachukizwa sana na hii tabia ya akina dad/kaka kuweka post zao za kutafuta wachumba na kuelekeza kama upo tayar u PM na anasema yupo serioslly na baada ya hapo watu ambao kweli wanahitaj mchumba wana PM na kuacha anwan inaweza kuwa namba na kuimba mtafutane baada ya hapo mtu ana kaa kimya sasa kwa nn asitoe taarifa kama amesha mpata.sasa je huo ndio u serios uliokuwa unazungumzia? achen mkisha weka bandiko mjibu basi kama usha mpata kama hauja mpata bas malengo ya kuweka uzi utimie
http://www.google.com
 
Na wewe mkubwa mzima unatafuta Mke through Social Network? Inamaana kukua kwako kote bado hujaona anaefaa?
 
mke mwema anapatikana popote pale ili mrad mridhiane tu mkuu.
mbona kunawengine wanakutana kwenye basi na wanashuka vituo tofaut na wanafikia kuwa wanandoa na hawafahamian?
 
Na wewe mkubwa mzima unatafuta Mke through Social Network? Inamaana kukua kwako kote bado hujaona anaefaa?

Mkubwa mzima na mkubwa nusu na robo??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ujinga huo unaweza kukuta wengine ni wazee humu
 
only successful candidate will be contacted wanasema
 
Ukituma PM hakuna ulazima ujibiwe...ni sawa nakuomba kazi si lazma wakuajiri au uitwe interview. Kama hujajibiwa maana yake umechekechwa
 
ndugu wana jf ninachukizwa sana na hii tabia ya akina dad/kaka kuweka post zao za kutafuta wachumba na kuelekeza kama upo tayar u PM na anasema yupo serioslly na baada ya hapo watu ambao kweli wanahitaj mchumba wana PM na kuacha anwan inaweza kuwa namba na kuimba mtafutane baada ya hapo mtu ana kaa kimya sasa kwa nn asitoe taarifa kama amesha mpata.sasa je huo ndio u serios uliokuwa unazungumzia? achen mkisha weka bandiko mjibu basi kama usha mpata kama hauja mpata bas malengo ya kuweka uzi utimie
Google
Pole sana. Labda huna vigezo, mkuu
 
Mkuu pole naona umekasirika sana sijui ulivo pm ndo ukajua umepata?
 
Husichoke mkuu, endelea na harakati zako. Ni swala la muda tu!
 
Back
Top Bottom