mke mwema anapatikana popote pale ili mrad mridhiane tu mkuu.Na wewe mkubwa mzima unatafuta Mke through Social Network? Inamaana kukua kwako kote bado hujaona anaefaa?
kwani ana umri gani hadi umuone mkubwa mzima!!Na wewe mkubwa mzima unatafuta Mke through Social Network? Inamaana kukua kwako kote bado hujaona anaefaa?
Na wewe mkubwa mzima unatafuta Mke through Social Network? Inamaana kukua kwako kote bado hujaona anaefaa?
ujinga huo unaweza kukuta wengine ni wazee humu
only successful candidate will be contacted wanasema
umeona EEHHahaha nimeipenda hiyo smile
kwani ana umri gani hadi umuone mkubwa mzima!!
Mkubwa mzima na mkubwa nusu na robo??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ukituma PM hakuna ulazima ujibiwe...ni sawa nakuomba kazi si lazma wakuajiri au uitwe interview. Kama hujajibiwa maana yake umechekechwa
Pole sana. Labda huna vigezo, mkuundugu wana jf ninachukizwa sana na hii tabia ya akina dad/kaka kuweka post zao za kutafuta wachumba na kuelekeza kama upo tayar u PM na anasema yupo serioslly na baada ya hapo watu ambao kweli wanahitaj mchumba wana PM na kuacha anwan inaweza kuwa namba na kuimba mtafutane baada ya hapo mtu ana kaa kimya sasa kwa nn asitoe taarifa kama amesha mpata.sasa je huo ndio u serios uliokuwa unazungumzia? achen mkisha weka bandiko mjibu basi kama usha mpata kama hauja mpata bas malengo ya kuweka uzi utimie