Wenu na nani??Pongezi nyingi kwa Makamu wa Rais mh. Deo Ndejembi kwa kuwa kiongozi wetu.
Wewe na Musukuma ipo siku mtajibu tu....CCM wote ni wahalifu dhidi ya Binadamu.Nimepata msamiati mpya kutoka kwa Mbuge Msukuma alipo kuwa anamuelezea Maku wa Rais Mhe. Deo Ndejembi alimuasa Makamu Mpya kuwa asiwe na tabia ya " kupiga shoti wenzake".
bilashaka neno hilo lina maana ya viongozi walipewa mamlaka wasiwe na tabia ya kuwafitini na kupiga majungu walio chini yao kwa lengo la kuwaharibia.
Hakika hii tabia ipo kila kona ya ofisi za umma ya viongozi kuwapiga shoti walio chini. Nani wa kuwatetea walio chini?
Viongozi wenye mamlaka acheni tabia za kuwaharibia walio chini kwa kupiga majungu na fitina.
Pongezi nyingi kwa Makamu wa Rais mh. Deo Ndejembi kwa kuwa kiongozi wetu.
Kiongozi wenu na nani?Nimepata msamiati mpya kutoka kwa Mbuge Msukuma alipo kuwa anamuelezea Maku wa Rais Mhe. Deo Ndejembi alimuasa Makamu Mpya kuwa asiwe na tabia ya " kupiga shoti wenzake".
Bilashaka neno hilo lina maana ya viongozi walipewa mamlaka wasiwe na tabia ya kuwafitini na kupiga majungu walio chini yao kwa lengo la kuwaharibia.
Hakika hii tabia ipo kila kona ya ofisi za umma ya viongozi kuwapiga shoti walio chini. Nani wa kuwatetea walio chini?
Viongozi wenye mamlaka acheni tabia za kuwaharibia walio chini kwa kupiga majungu na fitina.
Pongezi nyingi kwa Makamu wa Rais mh. Deo Ndejembi kwa kuwa kiongozi wetu.
Nahene sana bhabha, msukuma ni jambau kuu geitaWewe na Musukuma ipo siku mtajibu tu....CCM wote ni wahalifu dhidi ya Binadamu.
Musukuma aliratibu Mauaji ya ALPHONCE MAWAZO hiyo siyo shoti??!!Neno 'SHOTI' Usukumani hutumika kumaanisha HASARA/UPOTEVU....Lilitumika sana enzi za Biashara ya Zao La Pamba kwa Vyama Vya Ushirika vya kununua Pamba vya NCU na SHIRECU..Wahasibu wa Vyama hivyo walikuwa wakipata hasara/Upotevu kwenye mahesabu yao ndiyo ilisemwa -Walile Shoti= Amepata hasara-.Wengi sana walifungwa,kukimbia Miji yao au kufilisiwa Mali zao..Ilikuwa ni hekaheka ya hatari ukila Shoti......