Sina shaka na nizar na ngasa kwa kiasi flani ila Nonda na Sherman apana ila sio mbaya umeenda kitakwimu ni jambo zuri.Umesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.
Shaba NONDA - Monaco
Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)
Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)
Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)
Matahira ni watu wanaojua timu bora na za kubeba makombe kuliko mjanja anaebeba ndoo ya maji ya kunywa halafu anasema anachezea timu ya kijanjaMbwana Samatta Poppa kumbe alitokea Yanga FC na kwenda Tou Puisant Mazembe? Kuna Mtu mmoja huko nyuma aliniambia kuwa waliwahi kufanya Tafiti moja ya Kisiri juu ya Matahaira wengi ambao wapo mijini na ikagundulika kuwa 99.5% ni Mashabiki / Wapenzi wa Klabu ya Yanga. Mwanzoni nilimkatalia sana ila kupitia huu Upuuzi / Upupu wako sasa ni rasmi nimekubaliana na huo Utafiti.
Samata aliuzwa shingapi kwenda ulaya??? na hiyo hela simba waliitumia kufanyia nini??Jamaa ana matatizo sana huyu.
Hawa ni baadhi waliocheza ulaya.
1. Bobani
2.Okwi
3.Samatta
4.Kapombe. Hao ni baadhi ninao wakumbuka.kuna yule Mnaigeria aliyecheza simba kisha kapaa ulaya. Simba haijatoa nje tena wachezaji kwasababu ya kutocheza mechi za kimataifa.Naiona kesho ya hawa ulaya.
1.zimbwe Jr
2. Mkude
3.Ndemla kama watajituma kwenye mechi za kimataifa.
Kwanini useme kizazi huku wakati viongozi wako wanasema simba imekuwa daraja la ULAYA tangu kitambo?Utakuwa una matatizo ya kutokuelewa ulichoulizwa. Nataka wa kizazi hiki kama ulivyomtaja samata.
Huyo samata katokea simba si vyura fc.Nataka akitokea vyura fc
Nadir Haroub Canavaro - Vancouver White CapsUmesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.
Shaba NONDA - Monaco
Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)
Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)
Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)
Unawauza au wanakwenda wenyewe?Umesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.
Shaba NONDA - Monaco
Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)
Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)
Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)
Kama tukiwatoa NGASSA na NIZARSina shaka na nizar na ngasa kwa kiasi flani ila Nonda na Sherman apana ila sio mbaya umeenda kitakwimu ni jambo zuri.
Wanafanya vizuri Yanga yaan timu kila mwaka ni bingwa inalipa vizuri inashiriki mashindano makubwa sasa uende ulaya kuuza mchicha kama boban na okwi au????-Naomba unijie mchezaji wa kizazi hiki anayefanya vizuri ulaya akitokea Yanga.
We mpira umekupitia pembeni,umesahau kua ngasa keshakipiga na Man United?Naomba usinitajie Ngassa maana Hana alilofanya huko alipoenda zaidi ya kurudi nyumbani
Nadhani ungetueleza Kwanza ni kwanini Yanga FC hadi sasa hamjawalipa Wachezaji wenu Mishahara yao ya miezi mitatu ( 3 )
Mada yako inaongelea wachezaji wa ndani. Okwi lini Kawa mtanzania?Sawa ngoja nimtoe NGASSA.
Huyo Okwi amefanya nini Sonderjiske?
Amecheza game ngapi za msimu?
Amefunga mabao mangapi?
Mada yako imesimamia wapi? Tuanzie hapo?Kwanini useme kizazi huku wakati viongozi wako wanasema simba imekuwa daraja la ULAYA tangu kitambo?
Unakwepa nini sasa!?
Rekodi haziwekwi hivyo ndio mana hao sijawa na shida nao mana ni kweli mliwatoaKama tukiwatoa NGASSA na NIZAR
ambao wameenda na kurudi, kwanini tuwabakishe BOBAN na OKWI?
.....[emoji23][emoji23]