Hii tabia ya Simba kulaghai kwa wachezaji wameanza lini?

Hii tabia ya Simba kulaghai kwa wachezaji wameanza lini?

Umesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.

Shaba NONDA - Monaco

Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)

Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)

Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)

Sina shaka na nizar na ngasa kwa kiasi flani ila Nonda na Sherman apana ila sio mbaya umeenda kitakwimu ni jambo zuri.
 
Mbwana Samatta Poppa kumbe alitokea Yanga FC na kwenda Tou Puisant Mazembe? Kuna Mtu mmoja huko nyuma aliniambia kuwa waliwahi kufanya Tafiti moja ya Kisiri juu ya Matahaira wengi ambao wapo mijini na ikagundulika kuwa 99.5% ni Mashabiki / Wapenzi wa Klabu ya Yanga. Mwanzoni nilimkatalia sana ila kupitia huu Upuuzi / Upupu wako sasa ni rasmi nimekubaliana na huo Utafiti.
Matahira ni watu wanaojua timu bora na za kubeba makombe kuliko mjanja anaebeba ndoo ya maji ya kunywa halafu anasema anachezea timu ya kijanja
 
Jamaa ana matatizo sana huyu.
Hawa ni baadhi waliocheza ulaya.
1. Bobani
2.Okwi
3.Samatta
4.Kapombe. Hao ni baadhi ninao wakumbuka.kuna yule Mnaigeria aliyecheza simba kisha kapaa ulaya. Simba haijatoa nje tena wachezaji kwasababu ya kutocheza mechi za kimataifa.Naiona kesho ya hawa ulaya.
1.zimbwe Jr
2. Mkude
3.Ndemla kama watajituma kwenye mechi za kimataifa.
Samata aliuzwa shingapi kwenda ulaya??? na hiyo hela simba waliitumia kufanyia nini??
 
Utakuwa una matatizo ya kutokuelewa ulichoulizwa. Nataka wa kizazi hiki kama ulivyomtaja samata.
Huyo samata katokea simba si vyura fc.Nataka akitokea vyura fc
Kwanini useme kizazi huku wakati viongozi wako wanasema simba imekuwa daraja la ULAYA tangu kitambo?

Unakwepa nini sasa!?
 
Naomba usinitajie Ngassa maana Hana alilofanya huko alipoenda zaidi ya kurudi nyumbani
Sawa ngoja nimtoe NGASSA.

Huyo Okwi amefanya nini Sonderjiske?

Amecheza game ngapi za msimu?

Amefunga mabao mangapi?
 
Umesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.

Shaba NONDA - Monaco

Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)

Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)

Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)
Nadir Haroub Canavaro - Vancouver White Caps
 
Umesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.

Shaba NONDA - Monaco

Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)

Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)

Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)

Unawauza au wanakwenda wenyewe?

Huna ubavu huo wa kuuza mchezaji nje na kama ingekuwa hivyo umatonya ungeisha.!
 
Sina shaka na nizar na ngasa kwa kiasi flani ila Nonda na Sherman apana ila sio mbaya umeenda kitakwimu ni jambo zuri.
Kama tukiwatoa NGASSA na NIZAR
ambao wameenda na kurudi, kwanini tuwabakishe BOBAN na OKWI?

.....[emoji23][emoji23]
 
Naomba unijie mchezaji wa kizazi hiki anayefanya vizuri ulaya akitokea Yanga.
Wanafanya vizuri Yanga yaan timu kila mwaka ni bingwa inalipa vizuri inashiriki mashindano makubwa sasa uende ulaya kuuza mchicha kama boban na okwi au????-

Hata YouTube clip zao hamna sasa sijui kama wanacheza mpira au ni mabaa medi huko wakati ukiwa Yanga FIFA INAKUTAMBUA. bora kuuza mchicha ulaya au kucheza timu bora ya Africa???
 
Mchezaji yeyote mwenye nia ya kwenda kucheza soka ulaya anaweza kwenda kwa bidii zake na kujitambua yeye binafsi na sio kucheza Yanga au Simba, Ulimwengu ni mfano mmojawapo hajawahi kucheza Yanga wala Simba tuache siasa kwenye soka
 
simba ilimmwezesja samatta kwenda kucheza soka DRC huko,mazembe imempeleka ulaya OVER
 
Nadhani ungetueleza Kwanza ni kwanini Yanga FC hadi sasa hamjawalipa Wachezaji wenu Mishahara yao ya miezi mitatu ( 3 )

Nilisema humu kuhusu mishahara!

Kwa kaliba na nidhamu ya wachezaji wa Yanga hata ukiwanyima mishahara mieI 12 bado wata deliver madini on the pitch.


Sasa mnyime Mkude wa Mwezi mmoja tu ,huone kama hauziechi.
 
Sawa ngoja nimtoe NGASSA.

Huyo Okwi amefanya nini Sonderjiske?

Amecheza game ngapi za msimu?

Amefunga mabao mangapi?
Mada yako inaongelea wachezaji wa ndani. Okwi lini Kawa mtanzania?
Acha kutapatapa simama kwenye Mada yako. Hiyo ni dalili ya kushindwa. Poleee
 
Kama tukiwatoa NGASSA na NIZAR
ambao wameenda na kurudi, kwanini tuwabakishe BOBAN na OKWI?

.....[emoji23][emoji23]
Rekodi haziwekwi hivyo ndio mana hao sijawa na shida nao mana ni kweli mliwatoa
 
Back
Top Bottom