Hii tabia ya Simba kulaghai kwa wachezaji wameanza lini?

Si unaona sasa Kumbe hata hili la ngasa kucheka Vs Man Utd unabisha?duh mikia akili zenu fupi sana,ndio mana mwenyekiti wenu kawaita mbumbumbu,nyie hamnazo kweli,hizi hasira zenu mngezielekeza kwenye ligi walau mngefanya kitu.
Vyura bhana baada ya kucheza alipata nini? Punguzeni kutufatilia ili mlipe wachezaji mishahara
 
Yupo Danny Mrwanda pia alipewa nafasi kwenda nje kucheza soka la kulipwa.
 
Bora umewaambia ukweli vyura fc maana niwabishi sana
 
Mkuu siyo kwamba tunajiona huo ndo ukweli. Acheni kubania wachezaji. Sasa msuva sahivi kiwango kinamruhusu lakini mtambania mpaka kiwango kiwe kama cha Ngassa.
 
Mbwana Samatta alicheza mechi ngapi pale matopeni?
Kwanza aligoma maana hawakumpa Mark II waliyoahidi.
Hata kuchukua percent hela ya Genk ilikuwa dhuluma tu
 
Naona hukuelewa maana ya kusema kwamba Simba njia panda ya kwenda kucheza soka nje ya nchi. Kwanza tambua kwamba uwezo wa mchezaji ndio sifa pekee ya kumfanya akacheze mpira nje ya nchi. Wachezaji ambao walikuwa na uwezo huo na wakapita Simba hawakubaniwa kama Yanga wanavyofanya. Wachezaji wengi wazuri wamecheza Yanga lakini wanapohitajika nje inakuwa shida sana kuwaruhusu. Hiyo ndiyo tofauti iliyopo kati ya Simba na Yanga na ndio maana ya huo usemi. Simba haina shida mchezaji anapopata nafasi, wanamwacha tu anaenda wanachukua chao. Danny Mrwanda, Samatta, Okwi, Ochan, wapo wengine kama Masatu, Deo Njohole, Nteze John.... nikikumuka wengine nitakutajia.
 
Mbwana Samatta alicheza mechi ngapi pale matopeni?
Kwanza aligoma maana hawakumpa Mark II waliyoahidi.
Hata kuchukua percent hela ya Genk ilikuwa dhuluma tu
Rekodi zinasema aliuzwa mazembe akitokea wapi?
 
Umesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.

Shaba NONDA - Monaco

Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)

Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)

Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)

Acha uongo nizar hakutokea yanga
 
Acheni kelele mruhusuni Niyonzima asepe anakotakiwa. Nani asiyejua kwamba ukisajiliwa yanga ni sawa na kufunga ndoa na jini?!
 
Umeongea kitu kikubwa sana, mascout watasubir kuangalia mechi za simba kila atakapotua mechi za kimataifa.
 
Mbwana Samatta alicheza mechi ngapi pale matopeni?
Kwanza aligoma maana hawakumpa Mark II waliyoahidi.
Hata kuchukua percent hela ya Genk ilikuwa dhuluma tu
Hata angecheza mechi moja, ukweli ni kwamba simba haina tabia ya kuwabania wachezaji wenye uwezo kwenda nje. Angekuwa Yanga hakika asingeuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…