kenge 10
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,450
- 2,383
Nizar Khalfan - Wikipedia
Wewe mtoa mada nae kenge tu. Hivi Nizar khalfan alienda Canada kutokea yanga ?
Wewe mtoa mada nae kenge tu. Hivi Nizar khalfan alienda Canada kutokea yanga ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemsahau boban pia enzi izo
Mkuu Joseverest a.k.a Chenge nafurahi tupo pamoja kwa chama letu YangaWatani zangu wana maneno sana
Vyura bhana baada ya kucheza alipata nini? Punguzeni kutufatilia ili mlipe wachezaji mishaharaSi unaona sasa Kumbe hata hili la ngasa kucheka Vs Man Utd unabisha?duh mikia akili zenu fupi sana,ndio mana mwenyekiti wenu kawaita mbumbumbu,nyie hamnazo kweli,hizi hasira zenu mngezielekeza kwenye ligi walau mngefanya kitu.
Basi mimi nimeomba wa kizazi hikiUsikurupuke soma vizuri....
Ni shabiki mwenzako wa Matopeni FC aliyependekeza jina la Okwi.....
Okwi alikuwa anasugua benchi akaona bora akimbie nchini kwaoSawa ngoja nimtoe NGASSA.
Huyo Okwi amefanya nini Sonderjiske?
Amecheza game ngapi za msimu?
Amefunga mabao mangapi?
Pamoja sana mkuuMkuu Joseverest a.k.a Chenge nafurahi tupo pamoja kwa chama letu Yanga
Bora umewaambia ukweli vyura fc maana niwabishi sanaPamoja na utani mwingi baina ya wanazi wa timu hizi lakini kuna baadhi ya facts hazihitaji kubishaniwa.
Simba imetoa wachezaji wafuatao kwenda Ulaya;
1. Haruna Moshi Boban - Ligi Kuu Sweden
2. Henry Joseph - Ligi Kuu Norway
3. Mbwana Samattha - TP Mazembe kisha Genk Ubelgiji
4. Emeh Ezechukwu - Denmark
5. Emmanuel Okwi - Ligi Kuu Denmark
6 Dan Mrwanda - Kuwait kisha Vietnam
7 Shomari Kapombe - AS Cannes - Ufaransa.
Simba imetoa wachezaji wengi kwenda kwenye majaribio kktk nchi zilizoendelea kisoka kama Misri na Afrika Kusini
Wakati Simba ikifanya hivyo, Yanga imetoa wachezaji wawili tu kwenda kwenye majaribio ambao ni Mrisho Ngassa na Nadir Haroub. Huyu Nizar alitokea Moro United kwenda Marekani na baada ya kurudi akafikia Jangwani na sasa yuko Singida Unted.
Badala ya kuleta mabiashano yasiyo na maana, Yanga wakubali wana kitu cha kujifunza Msimbazi, waachane na mfumo mbaya wa kuwabania wachezaji kama walivyofanya kwa Jerry Tegete na wanavyoelekea kufanya kwa Msuva ambao katika viwango vya wanapaswa kupata timu nzuri tu Africa na hata nje ya Africa. Hata huyo Nonda ambaye tunaweza kusema ndio mchezaji mwenye mafanikio zaidi duniani kuwahi kupita ktk timu za Tanzania, aliondoka kwa kutoroka kwenda South Africa, ambaoko kutokea huko ndio akaenda Ufaransa.
Mkuu siyo kwamba tunajiona huo ndo ukweli. Acheni kubania wachezaji. Sasa msuva sahivi kiwango kinamruhusu lakini mtambania mpaka kiwango kiwe kama cha Ngassa.Mada inazungumzia kwanini simba SC wanajiona kuwa wao ndio daraja pekee hapa Tanzania la wachezaji kwenda kucheza soka la masrahi nje ya nji?
Na kwanini kuna mtazamo kuwa ukicheza Yanga hakuna hata possibility ya kupata nafasi ya kucheza soka la kulipwa?
Nikauliza naombeni mnitajie idadi hiyo kubwa ya wachezaji wanaozidi idadi ya ile ya Yanga walioenda kucheza soka la maslahi nje...
Sikuelewa kwamba ni versus.
Amemaanisha kucheza dhidi/ versus Manchester United ya nchini Uingereza...?
Mkuu sikumuelewa sawiaKama amekuelewa vyema ,basi atakuwa na tatizo la mtindio wa Ubongo.....
Hajui kuwa NGASSA alishawahi cheza vs United.
Naona hukuelewa maana ya kusema kwamba Simba njia panda ya kwenda kucheza soka nje ya nchi. Kwanza tambua kwamba uwezo wa mchezaji ndio sifa pekee ya kumfanya akacheze mpira nje ya nchi. Wachezaji ambao walikuwa na uwezo huo na wakapita Simba hawakubaniwa kama Yanga wanavyofanya. Wachezaji wengi wazuri wamecheza Yanga lakini wanapohitajika nje inakuwa shida sana kuwaruhusu. Hiyo ndiyo tofauti iliyopo kati ya Simba na Yanga na ndio maana ya huo usemi. Simba haina shida mchezaji anapopata nafasi, wanamwacha tu anaenda wanachukua chao. Danny Mrwanda, Samatta, Okwi, Ochan, wapo wengine kama Masatu, Deo Njohole, Nteze John.... nikikumuka wengine nitakutajia.Kuna hili suala limekuwa likitumiwa sana na Simba kwenye kulaghai wachezaji masikini wa Kitanzania.
Wenyewe wanasema "Ukicheza Simba ni sawa na kuwa njia panda ya ULAYA".
Nimemsikia yule beki wa kushoto aliyetoka Mbao FC someone Mlipili akihojiwa. Anasema kuwa amejiunga simba kwa kuwa unajua ni njia panda ya kwenda ULAYA.
Nikacheka na kujiuliza ' Hivi huyu dogo nani amemuaminisha kuwa ukicheza simba ndio una uhakika wa kuja kucheza Ulaya?. Hivi ni kweli ameahindwa kujiuliza yaliyomkuta Mgosi ambaye alijikuta akitupwa kwenye misitu ya DR Congo? Haoni jinsi Mkude anavyoendelea kuzeekea pale, amuoni Zimbwe JR na ubora wake wote hajawahi hata kuitwa Somalia akafanye trial?. Ni nani amemuaminisha kuwa akicheza pale simba kuwa yeye anaweza kufanikiwa kucheza soka la nje. Si watu wengine bali ni viongozi wa simba wanao walaghai hawa wachezaji.
Huwaga najiuliza ni wachezaji wangap ( kushinda Yanga SC) ambao Simba imewalea na kuwakuza mpaka wamefikia ubora wa kupata nafasi nje ya nchi?
Okey! wengi wanasema Samatta amepata nafasi ya kwenda nje kwa sababu ya kucheza simba, ila ukweli halisi ni kwamba kwa kipaji alichonacho Jamaa ni dhahiri asingekaa Bongo hata kama asingechezea simba. Licha ya kuwa pale simba alipita tu kwa nusu msimu.
Kuna jamaa nimemuuliza maswali kadhaa, kwanza "ni mchezaji gani ambayo simba wanajivunia kapitia simba na kupata nafasi nje ya Nchi?"
Akajibu "Samatta."
Nikamuuliza "|akini mbona YANGA amepita mtu kama NONDA"?
Hakuweza kuendelea kujibu kwa hoja, lakini ki uhalisia unajiuliza kwanini simba wanajisifu kutoa wachezaji nje ya nchi ikiwa hawajatoa wachezaji kuizidi Yanga.?
Wapenzi wengi wa simba hawawezi kujibu hili swali kwa ufasaha.
Hii inadhihirisha ni njama za ulaghai za baadha ya viongozi wa simba kuwafanya wachezaji waache kufuata ndoto zao za kutwaa MATAJI na kubaki simba wakiamini ipo siku watacheza ULAYA.
Rekodi zinasema aliuzwa mazembe akitokea wapi?Mbwana Samatta alicheza mechi ngapi pale matopeni?
Kwanza aligoma maana hawakumpa Mark II waliyoahidi.
Hata kuchukua percent hela ya Genk ilikuwa dhuluma tu
Acha uongo nizar hakutokea yangaUmesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.
Shaba NONDA - Monaco
Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)
Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)
Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)
Umeongea kitu kikubwa sana, mascout watasubir kuangalia mechi za simba kila atakapotua mechi za kimataifa.Jamaa ana matatizo sana huyu.
Hawa ni baadhi waliocheza ulaya.
1. Bobani
2.Okwi
3.Samatta
4.Kapombe. Hao ni baadhi ninao wakumbuka.kuna yule Mnaigeria aliyecheza simba kisha kapaa ulaya. Simba haijatoa nje tena wachezaji kwasababu ya kutocheza mechi za kimataifa.Naiona kesho ya hawa ulaya.
1.zimbwe Jr
2. Mkude
3.Ndemla kama watajituma kwenye mechi za kimataifa.
Hata angecheza mechi moja, ukweli ni kwamba simba haina tabia ya kuwabania wachezaji wenye uwezo kwenda nje. Angekuwa Yanga hakika asingeuzwa.Mbwana Samatta alicheza mechi ngapi pale matopeni?
Kwanza aligoma maana hawakumpa Mark II waliyoahidi.
Hata kuchukua percent hela ya Genk ilikuwa dhuluma tu