[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Nadhani ungetueleza Kwanza ni kwanini Yanga FC hadi sasa hamjawalipa Wachezaji wenu Mishahara yao ya miezi mitatu ( 3 ) kisha ndipo ungehamia kwa Simba SC kidogo tungekuelewa Mkuu. Ila kila nikiangalia kwa jinsi Simba inavyosajili Kisayansi hivi sasa nina wasiwasi huenda Mzizima Derby au Ilala Derby ijayo ( Simba na Yanga ) rekodi mpya ikawekwa ambapo kuna kila dalili kuwa Yanga FC inaweza kufungwa na Simba SC kati ya Goli 8 au 9. Itunze hii post yangu tafadhali kwani nina uhakika kuwa litatokea.
Patrick ochan-TP mazembe walienda na mbwana samathaNimemsahau boban pia enzi izo
Nicco,Deo Njohole walitaka timu gani? Shindika,Okwi, Kapombe(majaribio),Shekan Rashid walitoka wapi?Kuna hili suala limekuwa likitumiwa sana na Simba kwenye kulaghai wachezaji masikini wa Kitanzania.
Wenyewe wanasema "Ukicheza Simba ni sawa na kuwa njia panda ya ULAYA".
Nimemsikia yule beki wa kushoto aliyetoka Mbao FC someone Mlipili akihojiwa. Anasema kuwa amejiunga simba kwa kuwa unajua ni njia panda ya kwenda ULAYA.
Nikacheka na kujiuliza ' Hivi huyu dogo nani amemuaminisha kuwa ukicheza simba ndio una uhakika wa kuja kucheza Ulaya?. Hivi ni kweli ameahindwa kujiuliza yaliyomkuta Mgosi ambaye alijikuta akitupwa kwenye misitu ya DR Congo? Haoni jinsi Mkude anavyoendelea kuzeekea pale, amuoni Zimbwe JR na ubora wake wote hajawahi hata kuitwa Somalia akafanye trial?. Ni nani amemuaminisha kuwa akicheza pale simba kuwa yeye anaweza kufanikiwa kucheza soka la nje. Si watu wengine bali ni viongozi wa simba wanao walaghai hawa wachezaji.
Huwaga najiuliza ni wachezaji wangap ( kushinda Yanga SC) ambao Simba imewalea na kuwakuza mpaka wamefikia ubora wa kupata nafasi nje ya nchi?
Okey! wengi wanasema Samatta amepata nafasi ya kwenda nje kwa sababu ya kucheza simba, ila ukweli halisi ni kwamba kwa kipaji alichonacho Jamaa ni dhahiri asingekaa Bongo hata kama asingechezea simba. Licha ya kuwa pale simba alipita tu kwa nusu msimu.
Kuna jamaa nimemuuliza maswali kadhaa, kwanza "ni mchezaji gani ambayo simba wanajivunia kapitia simba na kupata nafasi nje ya Nchi?"
Akajibu "Samatta."
Nikamuuliza "|akini mbona YANGA amepita mtu kama NONDA"?
Hakuweza kuendelea kujibu kwa hoja, lakini ki uhalisia unajiuliza kwanini simba wanajisifu kutoa wachezaji nje ya nchi ikiwa hawajatoa wachezaji kuizidi Yanga.?
Wapenzi wengi wa simba hawawezi kujibu hili swali kwa ufasaha.
Hii inadhihirisha ni njama za ulaghai za baadha ya viongozi wa simba kuwafanya wachezaji waache kufuata ndoto zao za kutwaa MATAJI na kubaki simba wakiamini ipo siku watacheza ULAYA.
Nitajie waliokwenda majaribio toka jangwani.Kwanza kabisa kabla sijaanza kukutajia wachezaji wa Yanga waliokwenda nje naomba utambue kuwa Kapombe hakucheza hata game moja Caen kule Ufaransa.
Alienda kwa majaribio tu.
Eti mrisho -Free state... n.a. main gone Mpumalanga! Huko ni Ulaya ee?Umesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.
Shaba NONDA - Monaco
Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)
Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)
Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)
Mchezaji yeyote mwenye nia ya kwenda kucheza soka ulaya anaweza kwenda kwa bidii zake na kujitambua yeye binafsi na sio kucheza Yanga au Simba, Ulimwengu ni mfano mmojawapo hajawahi kucheza Yanga wala Simba tuache siasa kwenye soka
YangaNitajie waliokwenda majaribio toka jangwani.
Wewe BOYA, hivi wewe ni mchambuzi wa habari za michezo au mwandishi au mhariri?. Nimeuona huuu upuuuuuuzi wako kule VIDOKEZO, sio kwa habari za kimburula kama hizi za kwakoKuna hili suala limekuwa likitumiwa sana na Simba kwenye kulaghai wachezaji masikini wa Kitanzania.
Wenyewe wanasema "Ukicheza Simba ni sawa na kuwa njia panda ya ULAYA".
Nimemsikia yule beki wa kushoto aliyetoka Mbao FC someone Mlipili akihojiwa. Anasema kuwa amejiunga simba kwa kuwa unajua ni njia panda ya kwenda ULAYA.
Nikacheka na kujiuliza ' Hivi huyu dogo nani amemuaminisha kuwa ukicheza simba ndio una uhakika wa kuja kucheza Ulaya?. Hivi ni kweli ameahindwa kujiuliza yaliyomkuta Mgosi ambaye alijikuta akitupwa kwenye misitu ya DR Congo? Haoni jinsi Mkude anavyoendelea kuzeekea pale, amuoni Zimbwe JR na ubora wake wote hajawahi hata kuitwa Somalia akafanye trial?. Ni nani amemuaminisha kuwa akicheza pale simba kuwa yeye anaweza kufanikiwa kucheza soka la nje. Si watu wengine bali ni viongozi wa simba wanao walaghai hawa wachezaji.
Huwaga najiuliza ni wachezaji wangap ( kushinda Yanga SC) ambao Simba imewalea na kuwakuza mpaka wamefikia ubora wa kupata nafasi nje ya nchi?
Okey! wengi wanasema Samatta amepata nafasi ya kwenda nje kwa sababu ya kucheza simba, ila ukweli halisi ni kwamba kwa kipaji alichonacho Jamaa ni dhahiri asingekaa Bongo hata kama asingechezea simba. Licha ya kuwa pale simba alipita tu kwa nusu msimu.
Kuna jamaa nimemuuliza maswali kadhaa, kwanza "ni mchezaji gani ambayo simba wanajivunia kapitia simba na kupata nafasi nje ya Nchi?"
Akajibu "Samatta."
Nikamuuliza "|akini mbona YANGA amepita mtu kama NONDA"?
Hakuweza kuendelea kujibu kwa hoja, lakini ki uhalisia unajiuliza kwanini simba wanajisifu kutoa wachezaji nje ya nchi ikiwa hawajatoa wachezaji kuizidi Yanga.?
Wapenzi wengi wa simba hawawezi kujibu hili swali kwa ufasaha.
Hii inadhihirisha ni njama za ulaghai za baadha ya viongozi wa simba kuwafanya wachezaji waache kufuata ndoto zao za kutwaa MATAJI na kubaki simba wakiamini ipo siku watacheza ULAYA.
Wewe BOYA, hivi wewe ni mchambuzi wa habari za michezo au mwandishi au mhariri?. Nimeuona huuu upuuuuuuzi wako kule VIDOKEZO, sio kwa habari za kimburula kama hizi za kwako
Zamani wakati niko mdogo miaka ya samanini, babu yangu aliniambia kwamba simba ilikuwa Sunderland na yeye alikuwa mwanachama. Babu yangu ni seconnd world war veteran... kabila mnyasa lakini alizaliwa Dar akao Dar akafa Dar akwawacha nyumba tatu, mbili kariakoo, moja magomeni.
Anyway, kwa ufupi wengi ni mabwege wamevamia Dar, wala hawajui asili ya hizo timu. Endeleeni na ubwege wenu mapunda nyiye! Mijitu ya bara wamevamia Dar basi wanajifanya wajanja kuliko waliojenga Dar. Hata nyerere alikaribishwa na babu yangu.
Mjomba nimeshakuwa muwazi. Wote wanaojidai wanaijua simba na yanga sana ni mabwege majitu ya bara. Tunayoijua ni sisi watu wa dar wenye babu zetu tangu enzi ya Sunderland na Young Africans, na hao wanaoijua ni waliopigana vita ya kwanza na ya pili ya dunia, siyo mabweha majizi tu yakuja ya bara!Kuwa muwazi kidogo Mkuu, wengi wetu akili zetu ni za kuishabikia CCM. Ukiongea kwa mafumbo tunashindwa kukusoma! Kuwa straight kama JPM.
Henry josephJamaa ana matatizo sana huyu.
Hawa ni baadhi waliocheza ulaya.
1. Bobani
2.Okwi
3.Samatta
4.Kapombe. Hao ni baadhi ninao wakumbuka.kuna yule Mnaigeria aliyecheza simba kisha kapaa ulaya. Simba haijatoa nje tena wachezaji kwasababu ya kutocheza mechi za kimataifa.Naiona kesho ya hawa ulaya.
1.zimbwe Jr
2. Mkude
3.Ndemla kama watajituma kwenye mechi za kimataifa.
Nicco,Deo Njohole walitaka timu gani? Shindika,Okwi, Kapombe(majaribio),Shekan Rashid walitoka wapi?
Dhahiri alitokea matopeni lakini mlimlea kama akina Mkude au alipita tu?Rekodi zinasema aliuzwa mazembe akitokea wapi?
Hendry Joseph ShindikaJamaa ana matatizo sana huyu.