N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Mar 29, 2024 #41 Kuna namna fulani ni ajenda ya Siri kumfanya mh Dkt kusikika mara Kwa mara mioyoni mwa watu ili apendeke sasa. Lakini pia watu wanapalilia ugali wao
Kuna namna fulani ni ajenda ya Siri kumfanya mh Dkt kusikika mara Kwa mara mioyoni mwa watu ili apendeke sasa. Lakini pia watu wanapalilia ugali wao
Nyaubikra JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 1,339 Reaction score 3,319 Mar 29, 2024 #42 Kwanza kabisa nampongeza raisi wetu Mama samia kuweka mifumi mizuri ya TEHAMA.Maana haikuwa rahisi leo GENTAMYCINE ana tuma uzi wake humu jf kwa amani kbsa..............
Kwanza kabisa nampongeza raisi wetu Mama samia kuweka mifumi mizuri ya TEHAMA.Maana haikuwa rahisi leo GENTAMYCINE ana tuma uzi wake humu jf kwa amani kbsa..............
I Izai Senior Member Joined Nov 6, 2022 Posts 178 Reaction score 207 Mar 29, 2024 #43 Wewe inakuuma nn akisifiwa