na aliyeturoga aendelee kuturoga zaidi........viuno vina raha yake siyo manalamba lamba lips tu........sijasema wao nimesema tangu enzi zao, angalia nyimbo za koffi Olomide amigizileee ayayaaa amigizilee na kocho kocho. viuno hivihivi unayoviponda ndo vinawafanya mkimbilie kwa wakongo, nyie madem aliewaroga kashakufa hamjielewi mnapenda nini [emoji52] [emoji52]
ndo mana nasema aliewaroga kafa, ona sasa ushaanza kusifia viuno wakati umetoka kuviponda mda si haba.. ni shidaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]na aliyeturoga aendelee kuturoga zaidi........viuno vina raha yake siyo manalamba lamba lips tu........
imagine kiuno kiendane na tune ya wimbo wa bailando wa enrique. acha aiseeee
hajafa.....bado yupo hai ndiyo maana anazidi kuturoga........shida haswaaaa......ndo mana nasema aliewaroga kafa, ona sasa ushaanza kusifia viuno wakati umetoka kuviponda mda si haba.. ni shidaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]