Hii tabia ya wanaume kukata viuno kuliko wanawake siyo sawa

Hii tabia ya wanaume kukata viuno kuliko wanawake siyo sawa

sijasema wao nimesema tangu enzi zao, angalia nyimbo za koffi Olomide amigizileee ayayaaa amigizilee na kocho kocho. viuno hivihivi unayoviponda ndo vinawafanya mkimbilie kwa wakongo, nyie madem aliewaroga kashakufa hamjielewi mnapenda nini [emoji52] [emoji52]
na aliyeturoga aendelee kuturoga zaidi........viuno vina raha yake siyo manalamba lamba lips tu........

imagine kiuno kiendane na tune ya wimbo wa bailando wa enrique. acha aiseeee
 
na aliyeturoga aendelee kuturoga zaidi........viuno vina raha yake siyo manalamba lamba lips tu........

imagine kiuno kiendane na tune ya wimbo wa bailando wa enrique. acha aiseeee
ndo mana nasema aliewaroga kafa, ona sasa ushaanza kusifia viuno wakati umetoka kuviponda mda si haba.. ni shidaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna jambo muhimu sana lakuchukua kwenye huu uzi,!jambo wengine huweza kuona ni jambo lakawaida sana.

Siku hizi imekua ni zaidi ya kipaji,vijana wengi wamekua wakijifananisha sana na wanawake na kutwa kushinda kwenye masaluni ya kike wakiseti nywele.

Amini nakuambia Kati Yao wengi sana wanapigwa nao!!!
 
ndo mana nasema aliewaroga kafa, ona sasa ushaanza kusifia viuno wakati umetoka kuviponda mda si haba.. ni shidaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hajafa.....bado yupo hai ndiyo maana anazidi kuturoga........shida haswaaaa......
 
Acha hizo wewe mleta mada kuna miziki kucheza lazima ukate mauno enzi hizo Yondo sister mbuta mutu koffi olomide loi loi aurlus mabele evelina soukous star kin night diblo dibala passer lasser matchatcha sema wewe hukuwepo tena unapangana mrembo mnaanza kupeleka mpaka chini
 
Back
Top Bottom