Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Tumezoea kuona wale vijana wakipita majumbani kukata kucha za wanawake, kubandika kucha bandia pamoja na kuwapaka rangi. Binafsi tabiaa hii siipendi na hata wife nilimpiga marufuku kama anataka huduma hiyo atafute wanawake wenzake.
Juzi juzi nikiwa Dar nimeshangazwa kidogo kuona tabia hii imewapata na wanaume? Wanaume wa mikoani hii imekaaje hii, iko poa kweli?
Juzi juzi nikiwa Dar nimeshangazwa kidogo kuona tabia hii imewapata na wanaume? Wanaume wa mikoani hii imekaaje hii, iko poa kweli?