MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,240
Barbershope huoshiwi kichwa?Nilipita maeneo fulani hapo Morogoro nikakuta mwanaume katuliaa anaoshwa miguu na kukatwa kucha na mwanaume mwenzie.
Nilipatwa na mshangao hasa ukizingatia ni mara yangu ya kwanza kuona tukio hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa fisiem Huyo Ndiyo tabia zenu vilaza nyieKuna mkurya anaoshwa miguu na kukatwa kucha kitaa sijuimkurya gani huyu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungemla boga mkuuNilipita maeneo fulani hapo Morogoro nikakuta mwanaume katuliaa anaoshwa miguu na kukatwa kucha na mwanaume mwenzie.
Nilipatwa na mshangao hasa ukizingatia ni mara yangu ya kwanza kuona tukio hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana!
Si lazima Sana..ila kila mtu na anavyopendelea.Kwani usafi ni lazima ufanyike kwa njia hii??
Yaaaan TZ ina watu wa ajabu hadi baas khaaaaah.
Yaan bora hata wee umesema khaaaaahIla binadamu tunatofautiana sana. Mtu afanye kitu kwa pesa yake na life lake pasipo kuniathiri mimi au jamii yangu bado nianze kukasirika au kujiuliza endless questions.. Nitakuwa si mzima