Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Sana.Hatari
Vipi wameiba mchele hapo msibani ndugu?Sana.
Binadam ni washenzi sana
Pole Sana .Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu.
Na hii tabia haswa ni wadada au wanawake wana hii michezo , sasa sijui ni tamaa au ni nini.
Msiba unapoisha suala kukuta mchele, unga , sukari sijui mafuta ya kula au nguo kupotea ni jambo la kawaida na hii tabia ni ya wanawake hasa hawa wapishi wapishi. Nawashauri muache wenye hio tabia.
Mtu kafiwa labda na mume wake wewe badala ya kuwa faraja unaenda tena na kumwibia kabsaa.
LAANA SUMAKA KABISA
We acha kuna dada aliiba sasa akawa ame pack vitu sehemu, tuka mwona na sisi tukaensa kuvichukua na kuhamisha ile anakuja kutafuta tukawa tunamuangalia tu kama hatujui kilichotokea.Vipi wameiba mchele hapo msibani ndugu?
Hata kama mkuu watu wawe na mioyo bas hata ya huruma unamuibia mfiwa duuhKufa kufaana.
Wanaume hatunaga hizi mamboJiwe gizani, uki sikia yalaa usi ulize we pigia mstari
Huyo ilibidi kiboko kimuhusuWe acha kuna dada aliiba sasa akawa ame pack vitu sehemu, tuka mwona na sisi tukaensa kuvichukua na kuhamisha ile anakuja kutafuta tukawa tunamuangalia tu kama hatujui kilichotokea.
Kwani we mgeni hapa dunianiNiende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu.
Na hii tabia haswa ni wadada au wanawake wana hii michezo , sasa sijui ni tamaa au ni nini.
Msiba unapoisha suala kukuta mchele, unga , sukari sijui mafuta ya kula au nguo kupotea ni jambo la kawaida na hii tabia ni ya wanawake hasa hawa wapishi wapishi. Nawashauri muache wenye hio tabia.
Mtu kafiwa labda na mume wake wewe badala ya kuwa faraja unaenda tena na kumwibia kabsaa.
LAANA SUMAKA KABISA
Ni kweli kabisaa mkuu.Sio msibani pekee,sehemu yeyote yenye mkusanyiko,sherehe nk.wanaiba
Kuna baadhi ya wanawake wanatamaa sana mkuu, wanatakiwa kudhalilishwa tu mbele ya umati.indeed mkuu kweny msiba mmoja wakikristo si kuna movement za kuingia vyumbani sasa kuna wamama waliiba cheni na pete za dhahabu ambazo zilikua zinamilikiwa na marehemu pamoja na vitenge
Unamdhalilisha?,ni vile tu shida, kuwasamehe.Kuna baadhi ya wanawake wanatamaa sana mkuu, wanatakiwa kudhalilishwa tu mbele ya umati.
🤣🤣🤣Kwani we mgeni hapa duniani