Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Usicheke walahi humu uswazi Kuna wamama wanahudhuria misiba ukadhani Wana Imani walaaa wao kuiba pochi ,simu, msosi ,viatu na hata mumeo akikaa HOVYO wanambeba sijui mijitu mingine ikoješ¤£š¤£š¤£
Aisee ni hatariKuna msiba niliwahi kwenda... Hom kule kwa bibi majimatitu yaan nikakutana na wamama sijui ndo mama wadogo ila ni rafiki wa mama zangu..
Wakawa wanamwambia mama "" Ruqia mwanao amekua, amekua mbaba jamni ebu njoo,,
Wananiita alafu wananishika kidevu et wanasema " jaman watoto siku hizi wanakula mboleq cheki huyu ndo wakua na ndevu, haya salimia mama zako ""
Kuna mmoja alinishika kidevu nikaanza kama kumtamani hvi ila ndo basi tena ni ndgu wale nahisi...
Msibani kweli kuna mengi wizi upo mpaka wizi wa wake za watu
ššššššUsicheke walahi humu uswazi Kuna wamama wanahudhuria misiba ukadhani Wana Imani walaaa wao kuiba pochi ,simu, msosi ,viatu na hata mumeo akikaa HOVYO wanambeba sijui mijitu mingine ikoje
Hawa ndo wana hizo tabia!?
Madam ughongajishi huo?Hawa ndo wana hizo tabia!?
Aaaah sasa nachonganisha nini mimiš¤£š¤£weka maelezo kamili....Madam ughongajishi huo?
Vipi habari za nyanda juu kusini hawana hizi mamboš
Kweli usemavyošUsicheke walahi humu uswazi Kuna wamama wanahudhuria misiba ukadhani Wana Imani walaaa wao kuiba pochi ,simu, msosi ,viatu na hata mumeo akikaa HOVYO wanambeba sijui mijitu mingine ikoje
šš duh sisi huku jua utafikiri tuko pre season ya jehanamuAaaah sasa nachonganisha nini mimiš¤£š¤£weka maelezo kamili....
huku baridi hadi tunarukwa akili,labda uo msiba uwe na pilau ndo tunaiba
aaaah kila mtu lazma anufaike,,acha kuharibu biashara za watu,, biashara ni popote mkuu,,,kesho mtugawie ilo juaāŗļøāŗļøšš duh sisi huku jua utafikiri tuko pre season ya jehanamu
Msiba yeyote ikitokea naomba ushike maiki utoe tangazi kwa wanawake wenzio
Mwanamke kuwa mwizi hai sound good ššaaaah kila mtu lazma anufaike,,acha kuharibu biashara za watu,, biashara ni popote mkuu,,,kesho mtugawie ilo juaāŗļøāŗļø
Sasa tuishije ,,hebu usituchagulie kaziš¤£Mwanamke kuwa mwizi hai sound good šš
Kwani wajumbe hawajakupitisha?šSasa tuishije ,,hebu usituchagulie kaziš¤£
Eti naongea sana nitaharibušKwani wajumbe hawajakupitisha?š
Nahsi wametaka wakupe ubongo wao wa kijani, ukakataa, kule akili unaweka awayEti naongea sana nitaharibuš
Subiria teuzi za mama ana nafasišEti naongea sana nitaharibuš
Hahahaha mbona kunivurugaaaaNahsi wametaka wakupe ubongo wao wa kijani, ukakataa, kule akili unaweka away