Hii Teknolojia ilikuwepo Enzi zile za Umwinyi Mikoa ya Pwani. Nahisi Wazungu waliiba kwetu

Hii Teknolojia ilikuwepo Enzi zile za Umwinyi Mikoa ya Pwani. Nahisi Wazungu waliiba kwetu

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Miaka ile ya nyuma anasimulia mjomba wangu ambaye anasema alikuwa anaendesha Magari. Anasema inawezekana kabisa matumizi ya Remote Control wazungu walijfunzia huku kwetu.

Ilikuwa ukiwa unasafiri ukapita chalinze ukikuta nje kuna fimbo imewekwa na bargashia unatakiwa kusimama kusubiri mpaka mwnye hivyo vitu anapokuja Then atavibeba na kupanda gari yako muondoke wote.hapo utaenda kumshusha kijiji cha mbele bure kabisa.

Kutokuelewa jambo hili kungekukwamisha na safari yako.anasimulia uncle babu. Anasema kuwa ilitokea hakuwa anajua utaratibu huo akapita mitaa flan ya huko chalinze akielekea mkoani.hakuona na hata angeona asingejua.kuna sehemu kuna koti lilikuwa limeegeshwa kwenye kiti pamoja na fimbo pembeni. Nyumba moja ilikuwa pembezon mwa barabara.anasema ghafla gari lilizima.

Alihangaika sana na Utingo au turnboy(tandiboi) wake pasipo mafanikio.anasema baadaye akaja mzee mmoja akakaa kibarazan pake akiwatizama tu wakihangaika. Ikatokea dereva akaenda kuomba maji aongezee kwenye gari. Yule mzee akamuuliza we ndo dereva.uncle akasema ndiyo. Akamwambia sasa mbona mlitaka kuniacha?mlikuwa na haraka ya nini?

Dereva akamjib mzee kuwa mbona hakumwona..ndo mzee akamwambia kuwa aliweka koti na fimbo yake pale so walipaswa kumsubiri.ila sasa waondoke waende naye anaenda kijiji jiran tu kwa mke mdogo.dereva akajaribu kumwambia kuwa gari limeharibika.mzee akamwambia waende tu garini akajaribu tena kuwasha.kwel wakaenda mzee akapanda mbele akakaa dirishan.dereva kuchomeka tu funguo na kutekenya gari ikawaka wakaendelea na safari baadaye wakamshusha mzee.ndo akawaambia ile miji ya wenyewe...yeye aliitwa mwinyi juma.

Mikasa kama hii inasemekana ilikuwa mingi sana ya gari kuzimika mpaka pale mtakapomchukua mhusika.ukiangalia uwezo wa kuiwasha na kuizima gari alikuwa akifanyia ndani au mbali kama vile alitumia remote control. Nahisi wazungu walikuja kuiga huku teknolojia hiyo wao wakatengeneza na vidude hivyo wakaviita remote control. Pengine tukikaa chini nasi tunaweza vumbua mambo mengi sana.ikiwepo matumizi ya TV asili.
 
Bullsh*t Kuna kijizee kimoja hapa kitaani kinakopera sana, Yani deilenga anatembea na fimbo ya mpapai(kijitawi kisicho na majani) Sasa akikugusa nacho tu Basi hesabia umeumia, misimbazi yote inahamia kwake
 
Bullsh*t Kuna kijizee kimoja hapa kitaani kinakopera sana, Yani deilenga anatembea na fimbo ya mpapai(kijitawi kisicho na majani) Sasa akikugusa nacho tu Basi hesabia umeumia, misimbazi yote inahamia kwake
 
kiini macho sio sayansi mkuu.
unakuta hapo babu yupo ilq mme pofushwa. ila kwenye uhalisia wa sayansi kule wanaelezea na mechanism behind remote controlling
 
Ah!! Hilo la gari kuzima sijawahi kuona wala kusikia lakini hilo la kuweka koti na fimbo kule mitaa ya kwetu wala halijaisha zamani sana! And YES, dereva ukiona koti na fimbo unafahamu kabisa kwamba Alwatan anasafiri kwahiyo hata kama humuoni; unasimamisha gari unapiga honi kumuita Alwatan as if ana share kwenye hiyo gari!

Sasa mwenye gari mwenyewe anamheshimu Alwatan, seuze weye boi😛 wa mwenye gari 😀😀😀!!

Abiria na dereva kuweni wastahimilivu kidogo manake kama mna bahati basi baada ya kusikia honi, muda mfupi baadae Alwatan atatoka na "kukimbilia" gari!! Kinyume chake, anaweza kutokea mtoto tu tena akiwa amejibanza nyuma ya mlango huku akipiga kelele "...anakuuuuujaa!"

And eh, don't forget! Unaweza kukuta ile anafika tu na kutaka kupanda kwenye gari mara anakumbuka amesahau tasbihi au barakashia yake ndani!

Itabidi arudi ndani kuifuata huku nanyi mkiendelea kumsubiri!!

Kwani kuna tatizo? Ye ni Alwatan bhana... hata Babu yangu nae alikuwa Alwatan!
 
Ah!! Hilo la gari kuzima sijawahi kuona wala kusikia lakini hilo la kuweka koti na fimbo kule mitaa ya kwetu wala halikwisha zamani sana! And YES, dereva ukiona koti na fimbo unafahamu kabisa kwamba Alwatan anasafiri kwahiyo hata kama humuoni; unasimamisha gari unapiga honi kumuita Alwatan as if ana share kwenye hiyo gari!

Abiria na dereva kuweni wastahimilivu kidogo manake kama mna bahati basi baada ya kusikia honi, muda mfupi baadae Alwatan atatoka alikokuwa na "kukimbilia" gari!! Kinyume chake, anaweza kutokea mtoto tu tena akiwa amejibanza kwenye mlango huku akipiga kelele "...anakuuuuujaa!"

And eh, don't forget! Unaweza kukuta ile anafika tu na kutaka kupanda kweny gari mara anakumbuka amesahau tasbihi au barakashia yake ndani!

Itabidi arudi ndani kuifuata huku nanyi mkiendelea kumsubiri!!

Kwani kuna tatizo? Ye ni Alwatan bhana... hata Babu yangu alikuwa Alwatan!




Dah....Mamwinyi walikuwa wengi hatari kila sehemu na vimbwanga vyake na watabe wake kwenye sector hiyo
 
Hizi hadithi nazisikiaga nataman siku moja nishuhudie mwenyewe
 
umenkumbsha wanyak mwaka iyo, kma kuna sehem kuna mzee/wazee wamekaa we ukapta na gar au baiskel bila kuwasalimia, kuna mawil, kupata kaajal kadogo mbele kdogo au gari kuzma we waibaisker kuna pacha au break kukatka ukaanguke. Hi ki2 ilweka heshma sana kwa vjana. Endapo ungesmama na kuwasalimia safar yako itaendelea vzur kabsa
 
Back
Top Bottom