GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Miaka ile ya nyuma anasimulia mjomba wangu ambaye anasema alikuwa anaendesha Magari. Anasema inawezekana kabisa matumizi ya Remote Control wazungu walijfunzia huku kwetu.
Ilikuwa ukiwa unasafiri ukapita chalinze ukikuta nje kuna fimbo imewekwa na bargashia unatakiwa kusimama kusubiri mpaka mwnye hivyo vitu anapokuja Then atavibeba na kupanda gari yako muondoke wote.hapo utaenda kumshusha kijiji cha mbele bure kabisa.
Kutokuelewa jambo hili kungekukwamisha na safari yako.anasimulia uncle babu. Anasema kuwa ilitokea hakuwa anajua utaratibu huo akapita mitaa flan ya huko chalinze akielekea mkoani.hakuona na hata angeona asingejua.kuna sehemu kuna koti lilikuwa limeegeshwa kwenye kiti pamoja na fimbo pembeni. Nyumba moja ilikuwa pembezon mwa barabara.anasema ghafla gari lilizima.
Alihangaika sana na Utingo au turnboy(tandiboi) wake pasipo mafanikio.anasema baadaye akaja mzee mmoja akakaa kibarazan pake akiwatizama tu wakihangaika. Ikatokea dereva akaenda kuomba maji aongezee kwenye gari. Yule mzee akamuuliza we ndo dereva.uncle akasema ndiyo. Akamwambia sasa mbona mlitaka kuniacha?mlikuwa na haraka ya nini?
Dereva akamjib mzee kuwa mbona hakumwona..ndo mzee akamwambia kuwa aliweka koti na fimbo yake pale so walipaswa kumsubiri.ila sasa waondoke waende naye anaenda kijiji jiran tu kwa mke mdogo.dereva akajaribu kumwambia kuwa gari limeharibika.mzee akamwambia waende tu garini akajaribu tena kuwasha.kwel wakaenda mzee akapanda mbele akakaa dirishan.dereva kuchomeka tu funguo na kutekenya gari ikawaka wakaendelea na safari baadaye wakamshusha mzee.ndo akawaambia ile miji ya wenyewe...yeye aliitwa mwinyi juma.
Mikasa kama hii inasemekana ilikuwa mingi sana ya gari kuzimika mpaka pale mtakapomchukua mhusika.ukiangalia uwezo wa kuiwasha na kuizima gari alikuwa akifanyia ndani au mbali kama vile alitumia remote control. Nahisi wazungu walikuja kuiga huku teknolojia hiyo wao wakatengeneza na vidude hivyo wakaviita remote control. Pengine tukikaa chini nasi tunaweza vumbua mambo mengi sana.ikiwepo matumizi ya TV asili.