Hii 'The August' ni secret code ya nini?

Wewe dogo yaelekea mawimbi ya baharini yanakuathiri sana na kale kaugonjwa kako.
Hama toka huko Kigamboni au uwe unapitia Kongowe.
 
Ni msongo wa mawazo tu" Inasababishwa na vitu kama usiyempenda kaja au madeni sugu.
 
Hakuna ndoto hapo wewe kuna mpango unaujua fika kuhusu kitu hicho kinachotaka kutokea ila unatuzuga kuwa ndoto ila jamii intelejensi imezipata taarifa zako tena nikiunganisha ndoto zako na matukio ya polisi kuuwawa na kuporwa bunduki na hazijulikani zinaporwa kwa dhumuni gani na ni nani anadhamini huo mpango tena ikumbukwe tunaelekea kwenye kampeni sehemu ngumu kuwapekua wahudhuriaji wa mkutano. Tafadhari nyosha maelezo kama inavyotakiwa acha kuzuga kwa ndoto
 
itakua umekumbuka ile muvi ya "5 days of august 2011".
 

hapa hakuna cha ndoto wala nini, hii ni bangi ya TABORA Umeivuta wakati una njaa. thats all uliendelea sasa hivi utaanza kuvaa sketi
 
Mipango inayoendelea kwenye chama, kama hatua za mapema zisipochukuliwa basi, tukio husika litatokea na kutikisa nchi.

Its matter of time!
 
Ndoto yako iko hapa "The lion king". Soon simba simba will be in great fighting. August the lion
 

Upo sawa mkuu,hakuna ndoto hapo,ni mpango uliosukwa siku nyingi na serikali ya ccm,wanajua uchaguzi huu mkuu hawatashinda,so wanataka kumuua Dr Slaa maana ndo mwiba hatari kwa ccm,hakuna cha ndoto ukweli ndo huo,na waje wanikamate sasa.
 
Wewe mama huwa mjinga sana,sijui unajijua kuwa akili zako zimefyatuka kabisa,hizo bangi huwa unamvutisha wewe?

Hahahahahahahah, muulize akwambie.

Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Punguani wahed.
 
Hee!👀 wengine waanza ku tukakanana kwa ndoto ya jirani!. Tena muotaji bado anaendelea kuota hata mchana. Naanza kupata wasiwasi juu ya ndoto hii ...usije ukasaidia polisi baadae mana hulidhiki na matukio yanayotokea baada ya ndoto yako kisha...unataka kufanya ndoto iwe kweli?!!! kunakitu gani unatamani kitokee August!???
 
Hahahahahahahah, muulize akwambie.

Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Punguani wahed.

Hivi binadamu mwenzako unadiriki kumuita punguani?
Busara yako iko wapi sasa?
 
We hiyo ni ndoto gani ina jina imekuwa filam?
 
Mbona unatoboa Siri ya mipango yenu ya kutafuta sympathy. Au sasa unataka kugombea wadhifa wa Hussein Yahya
Haaa, Khabari za sheikh Yahaya Hussein ni nzito, maana alitabiri mtu maarufu atafariki na akafariki yeye almaarufu
 
Itakuwa kuna njama za kumuua makongoro nyerere.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…