Hii 'The August' ni secret code ya nini?

Hii 'The August' ni secret code ya nini?

Mtoto Wa Sheikh Yahya alitabiri kuwa kuna mgombea mmoja atafia jukwaani. Serikali imuangalie sana Lowassa na team yake ya wezi na majambazi. Na hasa kipindi hiki anachodaiwa kutaka kuungana na majambazi mengine ya CHADEMA
 
nigaa the swaggar what https://jamii.app/JFUserGuide was fucking for????...???????
 
Hakuna ndoto hapo wewe kuna mpango unaujua fika kuhusu kitu hicho kinachotaka kutokea ila unatuzuga kuwa ndoto ila jamii intelejensi imezipata taarifa zako tena nikiunganisha ndoto zako na matukio ya polisi kuuwawa na kuporwa bunduki na hazijulikani zinaporwa kwa dhumuni gani na ni nani anadhamini huo mpango tena ikumbukwe tunaelekea kwenye kampeni sehemu ngumu kuwapekua wahudhuriaji wa mkutano. Tafadhari nyosha maelezo kama inavyotakiwa acha kuzuga kwa ndoto
mkuu apo kwenye red pamebeba ukweli, comment yako ni ya mwezi may lkn tukio la stakishari ni la mwezi july; toa maelezo vzr vp na ww uliota tukio la stakishari?
 
shikamoo yericko nyerere.nitakutafutia ajira CIA au mossad.upo vizuri kijana.
 
Mtoto Wa Sheikh Yahya alitabiri kuwa kuna mgombea mmoja atafia jukwaani. Serikali imuangalie sana Lowassa na team yake ya wezi na majambazi. Na hasa kipindi hiki anachodaiwa kutaka kuungana na majambazi mengine ya CHADEMA

yaan kwa akil zako,umemuona lowasa ndo mtu pekee anaegombea urais?thnk twice plz.ndoto haijakamilika unatoa hitimisho,
 
Yeriko acha kujifanya umeota hiyo inshu mnaipanga kuhusu mgombea wa uraisi CCM, eti uote mangapi yametokea usiote Hilo tu? Na Ikifanikiwa hiyo mipango miovu juu ya Magufuli uwe mshtakiwa namba 1
 
Hehee karibu mkuu

Barua nyingine peleka kwa DPP
Kwamba Mwaka
2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa. Pia Rostam Aziz alimpa
Mbowe tshs 100m za kampeni. Pia gazeti la Tanzania Daima
limeanzishwa na fedha za chama kutoka
Conservative party? Andika kwa kiswahili tu.

Kisha uje tukutafsirie hizo njozi zako.
 
Back
Top Bottom