Hii 'The August' ni secret code ya nini?

Hahahahahahahah, muulize akwambie.

Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Punguani wahed.

Punguani ni wewe unayelishwa na wauaji wakuu ccm,kila siku unapeleka umbea lumumba unaoutoa humu jf,waambie kabisa huu mwaka ndo mwisho wao,waanue virago ikulu haraka,eti umeishi Canada,mtu umeishi taifa tajiri linalojari raia wake una roho mbaya as if uliishi Darfur Sudan.
 

= linalojali.

Mwenzako mleta mada sasa hivi anamshabikia mgombea wa CCM, wewe jidanganye tu.
 
Nimepita hapa ili nipunguze stress nilijua majibu yatakayotolewa! anyway tusubiri august tusidharau maono!
 
Ni juz nimewaza pia kufa Kwa mgombea urais. Tena magufuri, nikajiuliza jaji ataitisha tarehe nyingine za uchaguz?
Au tutaendelea wakat ccm wakchagua mtu wao?
nilikuwa nawaza tu wakat uzi huu sijaona
May be myself this code can be applied or to play in ukawa

Tafakar ya kina inahitajika
 

Tuzidi kumuomba Mungu yatokee hayo ili nchi ikombolewe
 

Povu limezidi maji..
 
Kuna post nyingine ni za kujidhalilisha na kujishushia hadhi katika jamii
Kwa hiyo untuambia kuwa umeshushiwa mikoba ya shehe yahaya? Or else you are only preparing your preys psychologically for your future threads... :thumbdown:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…