Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
- Thread starter
- #41
Hapo umenena hata katika maandiko WOMAN = PROBLEMS
Hence Proved in both wayz!!!
Hence Proved in both wayz!!!
hey mkuu,nilipata supporting ya Bibilia.(woman =problem) kwani wanawake ndio waliosababisha binadamu tupate shida,alipodaganywa na Nyoka kula tunda la mti wa katikati akampa Mwanamume alile.
mwanamke alikuwa Eva na mwanamume alikuwa Adam,