Hii Theory ipo kweli???!!!!: Woman Is Equal to Problems

Hapo umenena hata katika maandiko WOMAN = PROBLEMS
Hence Proved in both wayz!!!

hey mkuu,nilipata supporting ya Bibilia.(woman =problem) kwani wanawake ndio waliosababisha binadamu tupate shida,alipodaganywa na Nyoka kula tunda la mti wa katikati akampa Mwanamume alile.
mwanamke alikuwa Eva na mwanamume alikuwa Adam,
 
WOMAN is not equal to MAN!
Mwanaume ni kichwa cha familia!!
Angalia familia ambazo MAMA ana matatizo zinakuwa vipi??!!

 
Hiyo FACT sio kweli coz Baba ndo kichwa na
siku zote ukioa mwanamke ambaye ana problems unaweza usikae homy.
Ndo maana nasema asilimia kubwa ni Problems!!!

that is the FACT not THEORY.
Nafikiri unajua tofauti ya fact na theory.
Thanx.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…