Hii Tigo leo jamani! Appointment zitafeli

Hii Tigo leo jamani! Appointment zitafeli

new gal

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,593
Reaction score
2,988
Imagine ndo umepanga kuonana na mtu leo jamani. Masimu hayaendi, sms usiseme, miamala haisogei yani tafrani. Utajuta yani na ndio usikute uliomba ka emergency kazini kwa siku ya leo, mambo si ndo yashaharibika nyie.

Yani nimewaza ningekua na appointment sijui ingekuaje yaini

360_anger.jpg
 
Ni kawaida kwa mitandao ya simu including hao tiGO...

Inawezekana labda shida ipo maeneo uliyopo tu na si tatizo la nchi/wateja wote...
 
Ni kawaida kwa mitandao ya simu including hao tiGO...

Inawezekana labda shida ipo maeneo uliyopo tu na si tatizo la nchi/wateja wote...
Sijajua mikoani ila kwa dar wote wanalalamika
 
Nimeshangaa tangu saa kumi na mbili asubuhi nawasha data inawaka na kuzima.
Simu haziendi na matatizo kibao mpaka nikawaza ni simu imepatwa na tatizo au

Tigo wajirekebishe. Fikiria nina bando langu linaisha baadae saa nane mchana alafu inakua hivi 😠
 
sijajua mikoani ila kwa dar wote wanalalamika

Okay, basi huenda ni shida ipo kwenye core nodes zao...

Maana kwa kawaida voice layer ni tofauti na data layer upande wa core network...
 
Nimeshangaa tangu saa kumi na mbili asubuhi nawasha data inawaka na kuzima.
Simu haziendi na matatizo kibao mpaka nikawaza ni simu imepatwa na tatizo au

Tigo wajirekebishe. Fikiria nina bando langu linaisha baadae saa nane mchana alafu inakua hivi 😠
Pole mkuu
 
Natamani ifike siku ambayo tunaweza kuwashurutisha hawa jamaa ili iwe inakula kwetu sote, naona sasa tunaathirika zaidi tena ZAIDI
 
Vodacom ndo baba lao, vifurushi vya gharama lakini mtandao bora na imara
 
Back
Top Bottom