Hii Tigo leo jamani! Appointment zitafeli

Hii Tigo leo jamani! Appointment zitafeli

Jana kwenye saa nne kwenda saa tano Airtel sms zilikuwa haziendi, nililazimika kuhamia tigo kwa muda kuwasiliana na Mtu.
 
Imagine ndo umepanga kuonana na mtu leo jamani. Masimu hayaendi, sms usiseme, miamala haisogei yani tafrani. Utajuta yani na ndo usikute uliomba ka emergency kazini kwa siku ya leo, mambo si ndo yashaharibika nyie.

Yani nimewaza ningekua na appointment sijui ingekuaje yaini

Nakubaliana na wewe kweli! Miamala haifanyikazi vilivyo( kwa kubahatisha tu) mnara ni no service au simu inabaki ku sachi tu' internet 4G' +H, hupati badalayake unapata "E"
 
Leo wanakera sana View attachment 1813903 wanajibu kirahisi rahisi
Hawa wanaojifanya wamekula hasara kwenye kazi zao kisa internet ya tigo ilikua down ni kutupiana lawana tu hakuna sehemu duniani utapewa compensation ila kama unaona unatumia internet kwenye business ni bora ukawa na providers wawili tofauti mmoja akikwama unakua na backup.
 
Imagine ndo umepanga kuonana na mtu leo jamani. Masimu hayaendi, sms usiseme, miamala haisogei yani tafrani. Utajuta yani na ndio usikute uliomba ka emergency kazini kwa siku ya leo, mambo si ndo yashaharibika nyie.

Yani nimewaza ningekua na appointment sijui ingekuaje yaini

Kupotezeana muda tu nikajua ni Tigo kumbe tigo
 
jana nilkuwa nachati na demu wangu akawa analalamika kufeli kwa meseji nilidhani ni mzushi kumbe ni kwel
 
Back
Top Bottom