Sijajua mikoani ila kwa dar wote wanalalamikaNi kawaida kwa mitandao ya simu including hao tiGO...
Inawezekana labda shida ipo maeneo uliyopo tu na si tatizo la nchi/wateja wote...
sijajua mikoani ila kwa dar wote wanalalamika
Pole mkuuNimeshangaa tangu saa kumi na mbili asubuhi nawasha data inawaka na kuzima.
Simu haziendi na matatizo kibao mpaka nikawaza ni simu imepatwa na tatizo au
Tigo wajirekebishe. Fikiria nina bando langu linaisha baadae saa nane mchana alafu inakua hivi 😠
Siku ya leo?Sio tigo tu hata zantel Ni shida
Ubaya tunawategemea kinyama yaninatamani ifike siku ambayo tunaweza kuwashurutisha hawa jamaa ili iwe inakula kwetu sote, naona sasa tunaathirika zaidi tena ZAIDI
Tunaumia aisee, wao hakuna hasara.ubaya tunawategemea kinyama yani
Sio tigo tu hata zantel Ni shida
Huku Arusha no network for tigo [emoji24]Sijajua mikoani ila kwa dar wote wanalalamika
ah bas sehem kubwaHuku Arusha no network for tigo [emoji24]