Kwenye hatua hiyo timu inashughulika zaidi kufika malengo. Nadhani wangepoteza nafasi ya kutinga nusu fainali ungewatukana mwezi mzimaMechi mbovu kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu.. Itoshe kusema Yanga ni kikundi cha vibaka na panya road
Povu ruksaa
Yawezekana pia, iwapo kumuelewa ni hadi uwe umesoma chini ya mbuyu! Ila mimi sijasoma cini ya mbuyu ndio maana simuelewi vile!Kuchota akili za Mbumbumbu tu ndiyo dhamira ya Mleta mada, kumuelewa ni lazima uwe umesoma chini ya mbuyu[emoji1]
Simba tulieni Yanga ikiongea mambo ya mechi za kimataifa.Huyo ni utopolo mwenzako,
Haya sasa utopolo mnaruka na kukanyagana[emoji1787]
[emoji706][emoji706]Nabi kweli ni profesa wa boli.
Leo alikuwa mazoezini. Nimeona mbinu mpya mechi ya Yanga kukamilisha ratiba ni Yanga kumiliki mpira na kupasiana tu mwanzo mwisho Ili kuwapoteza wapinzani hadi mpira unaisha Rivers United hawaamini wametoka bila shot on target hata moja!
Vifaa vimepumzika Nabi kadharau mechi kaweka wachezaji level ya Rivers United kina Mzize!
Kwanini utumie bunduki kuua mbu?
Wewe sio ubovu? Mbonna nasikia unakandamizwa?Mechi mbovu kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu.. Itoshe kusema Yanga ni kikundi cha vibaka na panya road
Povu ruksaa
Chelkenge anashuka darajaHuu mwaka unalo we Mbumbumbu, Ulaya Arsepimbi wanakutesa, Bongo pia Kolowizards wanakunyanyapaa daaah [emoji23]
Huna akili,Huu mwaka unalo we Mbumbumbu, Ulaya Arsepimbi wanakutesa, Bongo pia Kolowizards wanakunyanyapaa daaah [emoji23]
Huna akili,Simba tulieni Yanga ikiongea mambo ya mechi za kimataifa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
hivi hujajinyea wewe?Mechi mbovu kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu.. Itoshe kusema Yanga ni kikundi cha vibaka na panya road
Povu ruksaa
Haya ndio mbumbumbu Rage aliokuwa anawasema.Huna akili,
Sisi tunajipanga na kombe kuuuuuuuuubwaaaaaa la SUPER LEAGUE sio hilo ndondo cup lenu
Robo finally FCHuna akili,
Sisi tunajipanga na kombe kuuuuuuuuubwaaaaaa la SUPER LEAGUE sio hilo ndondo cup lenu
Vikundi vya vibaka vipo kule umbumbuni, wale waliochoma moto uwanja wa watu ndio panya road wale!Mechi mbovu kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu.. Itoshe kusema Yanga ni kikundi cha vibaka na panya road
Povu ruksaa