Yanga ndio Gamboshi tunayoisoma kwenye vitabu.Kitendo cha CCTV camera za Azam complex kuwaumbua,kumewafanya waamini kuwa hawatatoboa licha ya kuwa na wachezaji bora.
Inashangaza wao kuamua kuhama uwanja kwa sababu za kishirikina na si za kimpira maana hawajalalamika kuwa wamenyimwa kufanya mazoezi katika uwanja huo.
Najiuliza je,siku wapinzani wao wakiuchagua uwanja wa Azam kama wa nyumbani tutarajie watafungwa tena goli 3?
Hii ni aibu kwa club inayojinasibu kubwa kuishi kwa kutegemea uchawi na ushauri wa wachawi na sio ushauri wa mwalimu na wasaidizi wake.

Katoa hoja wewe hujajibu hoja. Halafu unasema hili jukwaa la great thinkers.Acha ukasuku hili ni jamvi la Great thinkers
Azam imeshawambua kaeni kwa kutulia.Nashanga wabongo walivyoikomalia Yanga na mambo ya uchawi utadhani timu inayoroga kwenye mpira wa Bongo ni Yanga pekee...
Sikiliza wewe, kwenye soka la Tanzania hata mechi za ndondo tu timu huwa zinaroga na kutoa makafara...
Simba na timu zote za ligi kuu huwa zinaroga pia, maana wakati mwingi e timu inaroga sio kwamba ishinde mechi bali ijilinde na makafara ambayo timu pinzani imeyafanya kuepusha vifo...
Kitendo cha CCTV camera za Azam complex kuwaumbua,kumewafanya waamini kuwa hawatatoboa licha ya kuwa na wachezaji bora.
Inashangaza wao kuamua kuhama uwanja kwa sababu za kishirikina na si za kimpira maana hawajalalamika kuwa wamenyimwa kufanya mazoezi katika uwanja huo.
Najiuliza je,siku wapinzani wao wakiuchagua uwanja wa Azam kama wa nyumbani tutarajie watafungwa tena goli 3?
Hii ni aibu kwa club inayojinasibu kubwa kuishi kwa kutegemea uchawi na ushauri wa wachawi na sio ushauri wa mwalimu na wasaidizi wake.
Unesema kweliYanga ndio Gamboshi tunayoisoma kwenye vitabu.
Azam imeshawambua kaeni kwa kutulia.
Katoa hoja au katuletea taarifa ya kukopy kutoka tiktokKatoa hoja wewe hujajibu hoja. Halafu unasema hili jukwaa la great thinkers.
Aliyeshikwa na ngozi ndio....Nashanga wabongo walivyoikomalia Yanga na mambo ya uchawi utadhani timu inayoroga kwenye mpira wa Bongo ni Yanga pekee...
Sikiliza wewe, kwenye soka la Tanzania hata mechi za ndondo tu timu huwa zinaroga na kutoa makafara...
Simba na timu zote za ligi kuu huwa zinaroga pia, maana wakati mwingi e timu inaroga sio kwamba ishinde mechi bali ijilinde na makafara ambayo timu pinzani imeyafanya kuepusha vifo...
Ni wapi ilidhihirika wale watu ni wa Yanga?Aliyeshikwa na ngozi ndio....
Mbona mbumbumbu ndio mnaumia sana yanga kuhama uwanja? Nyie mlihama viwanja vingapi kabla ya kwenda kmc? Mbona mlikwenda mpaka Sheikh amri abeid Arusha na akuna aliyewasema, yanga wameamua wao kuhama nyie yanawahusu nini, acheni kubwabwaja msiyoyajua fatilieni ya kwenu ebho!Kitendo cha CCTV camera za Azam complex kuwaumbua,kumewafanya waamini kuwa hawatatoboa licha ya kuwa na wachezaji bora.
Inashangaza wao kuamua kuhama uwanja kwa sababu za kishirikina na si za kimpira maana hawajalalamika kuwa wamenyimwa kufanya mazoezi katika uwanja huo.
Najiuliza je,siku wapinzani wao wakiuchagua uwanja wa Azam kama wa nyumbani tutarajie watafungwa tena goli 3?
Hii ni aibu kwa club inayojinasibu kubwa kuishi kwa kutegemea uchawi na ushauri wa wachawi na sio ushauri wa mwalimu na wasaidizi wake
Aliyeshikwa na ngozi ndio....
It doens't matter,we jibu hoja kaitoa wapi muachie mwenyewe.Katoa hoja au katuletea taarifa ya kukopy kutoka tiktok