Hii timu kuwekeza kwenye uchawi itafanya watu wengi wauchukie mpira wa Tanzania

Hii timu kuwekeza kwenye uchawi itafanya watu wengi wauchukie mpira wa Tanzania

Kwa hiyo tuseme Uto....ni wazee wa hirizi....sasa mbona nyuki waliwadunga mishale ya kutosha!
 
Tukisema Yanga Ina kitengo Cha kufuatilia nyendo zote ovu za mpinzani na kuzikwepa kwa kutopita katika mitego Yao hatubahatishi.
Hii ni mfano katika video nyingi zilizopo kwenye fail la kamati ya ulinzi na usalama wa klabu ya Yanga.
Tunaposema tunawafahamu Simba hatua bahatishi.
 
Attachments

  • VID-20241110-WA0000.mp4
    2.4 MB
Kitendo cha CCTV camera za Azam complex kuwaumbua,kumewafanya waamini kuwa hawatatoboa licha ya kuwa na wachezaji bora.

Inashangaza wao kuamua kuhama uwanja kwa sababu za kishirikina na si za kimpira maana hawajalalamika kuwa wamenyimwa kufanya mazoezi katika uwanja huo.

Najiuliza je,siku wapinzani wao wakiuchagua uwanja wa Azam kama wa nyumbani tutarajie watafungwa tena goli 3?
Hii ni aibu kwa club inayojinasibu kubwa kuishi kwa kutegemea uchawi na ushauri wa wachawi na sio ushauri wa mwalimu na wasaidizi wake.
 
Washirikina FC....
Yani kila mtu huko atachanganyikiwa mwaka huu
 
Tukisema Yanga Ina kitengo Cha kufuatilia nyendo zote ovu za mpinzani na kuzikwepa kwa kutopita katika mitego Yao hatubahatishi.
Hii ni mfano katika video nyingi zilizopo kwenye fail la kamati ya ulinzi na usalama wa klabu ya Yanga.
Tunaposema tunawafahamu Simba hatua bahatishi.
Washirikina Fc haooooo
Utopolo wangaaaa
 
Washirikina Fc haooooo
Utopolo wangaaaa
IMG_20241102_072500.jpg
 
Nashanga wabongo walivyoikomalia Yanga na mambo ya uchawi utadhani timu inayoroga kwenye mpira wa Bongo ni Yanga pekee...

Sikiliza wewe, kwenye soka la Tanzania hata mechi za ndondo tu timu huwa zinaroga na kutoa makafara...

Simba na timu zote za ligi kuu huwa zinaroga pia, maana wakati mwingi e timu inaroga sio kwamba ishinde mechi bali ijilinde na makafara ambayo timu pinzani imeyafanya kuepusha vifo...
Si Bora yanga wanaroga gizani
Hawa makolo wanafanya ulozi hadharani mchana kweupe
Hawa si ndio walipigwa faininya 10000usd na caf Kwa kufanya ulozi uwanjani pale SA
Wanadhalilisha nchi kabisa tunaonekana wahsirikina , halafu wanakuja kubwabwaja hapa, umbwa kabisa haya makolo
 
Makolo ni mashoga kitambo
JamiiForums-789999666.jpg
 
Back
Top Bottom