kali linux JF-Expert Member Joined May 21, 2017 Posts 2,192 Reaction score 5,685 Feb 5, 2025 #1 Duuh hii trade kama masihara vile ila ndio hivo, Luka Doncic kaja Lakers na AD kaenda Mavs. Msimu huu patachangamka sana. RRONDO
Duuh hii trade kama masihara vile ila ndio hivo, Luka Doncic kaja Lakers na AD kaenda Mavs. Msimu huu patachangamka sana. RRONDO
W waleed012 JF-Expert Member Joined Jan 20, 2025 Posts 253 Reaction score 310 Feb 5, 2025 #2 Eeeh!! wajamenii kwamba ndo hakuna mpenzi wa basketball zaidi ya jamaa mwenye uzi wake!!? msifanye hivyooo
Eeeh!! wajamenii kwamba ndo hakuna mpenzi wa basketball zaidi ya jamaa mwenye uzi wake!!? msifanye hivyooo
W waleed012 JF-Expert Member Joined Jan 20, 2025 Posts 253 Reaction score 310 Feb 5, 2025 #3 Ila tusisahau kuwa coach SIDE kaondoka zake kaja HAMADI
beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,458 Reaction score 2,496 Feb 5, 2025 #4 kali linux said: Duuh hii trade kama masihara vile ila ndio hivo, Luka Doncic kaja Lakers na AD kaenda Mavs. Msimu huu patachangamka sana. RRONDO Click to expand... Mark Cuban angekuwa bado anamiliki hii timu asingefanya hiyo trade. Walioinunua timu ni wafanyabiashara. Luka ana contrct kubwa sana. I guess jamaa hawataki kumpa hiyo hela.
kali linux said: Duuh hii trade kama masihara vile ila ndio hivo, Luka Doncic kaja Lakers na AD kaenda Mavs. Msimu huu patachangamka sana. RRONDO Click to expand... Mark Cuban angekuwa bado anamiliki hii timu asingefanya hiyo trade. Walioinunua timu ni wafanyabiashara. Luka ana contrct kubwa sana. I guess jamaa hawataki kumpa hiyo hela.