Hii trekta millioni 46 tu

Hii trekta millioni 46 tu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Hii chombo bei yake ni Millioni 46 tu.
IMG_20221115_145714.jpg

Kama unahitaji, jichange piga hii simu haraka 0747744895.
 
Ndio kwanza account yangu ina soma 4,000,000 hapo mpaka kuja kumiliki hicho chombo ni muda wa miaka mingi sana.
 
Mwendo wa kukodi tu. Mambo ya umiliki haina ulazima sana.
 
Utaratibu wa kukopeshwa umekaaje? Yaani unalipa kiasi gani kwanza, halafu kiasi kinachobakia kulipwa kila mwezi ndani ya muda fulani?

Au hiyo trekta yako ni ya kulipa kwa cash?
 
Changamoto ya trector za volvo watu wanaziogopa vipuli, ila kwa upande wangu ninayo moja nimei import kutoka china engine ni cums na wechai ziko poa wapunguze bei kama wanataka wateja hawawezi kuingia sokoni na kuanza na bei hiyo
mbona hiyo bei ndogo sana
 
Changamoto ya trector za volvo watu wanaziogopa vipuli, ila kwa upande wangu ninayo moja nimei import kutoka china engine ni cums na wechai ziko poa wapunguze bei kama wanataka wateja hawawezi kuingia sokoni na kuanza na bei hiyo
Hiyo ni VOLVO kweli? Au mie sijaelewa vizuri
 
Changamoto ya trector za volvo watu wanaziogopa vipuli, ila kwa upande wangu ninayo moja nimei import kutoka china engine ni cums na wechai ziko poa wapunguze bei kama wanataka wateja hawawezi kuingia sokoni na kuanza na bei hiyo
Bei ndogo sana Kwa tractor hiyo ,sasa wewe utaweza nunua mitambo ya John Deere au Marsey Ferguson kweli wewe .Kilimo ni biashara kubwa na inahitaji uwekezaji wa uhakika si kilimo cha kubahatisha . Kama kweli uko serious na kilimo chukua mtambo huo ,wakulima waache jembe la mkono kabisa ,hamna tija ,ni bora mjichange hata watu wawili watatu mnunue hiyo mitambo muwe mnachangia running cost za mafuta na repair
 
Ni LOVOL itakuwa ni wachina hao kwenye ubora wao, wanacheza na akili na macho yetu haraka haraka unahisi ni volvo [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Na Mimi nilitaka kushangaa , tractor gani ya milioni 46 , hahaaa ,machine ya Volvo ununue kwa pesa hiyo , hata kwa used pale south Afrika hupati kwa bei hiyo
 
Back
Top Bottom