The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ndio hiyo hiyo unalose self control,ndio maana baada ya tukio watu hujilaumu,losing self control leads to several risks,vitu ambavyo mara nyingi vinaweza kukufikisha kwenye hiyo hali ni pamoja na Chronic stress,Anxiety,na kuna ile hali mtu anajihisi powerless over his own life,once emotion spike drops,ndio unakutana na matokeo ya long time regreat and shame.Sio kwamba viko out of self control to say.
Ila ni kwamba mtu anakuwa bado haja weza kujua kuwa subconscious mind ina run the show, so ataona yuko right during the action, imagine umekasirika...Lazima uta loose tuoch na uhalisia uliopo just to feed the hate.
Awareness huja baada ya kutimiza kile subconscious imekusudia, the same applies ukiwa unakimbizwa na simba utashangaa umeruka ukuta mkubwa bila kupenda
Sure thing but all that can be learned and adjusted as we keep experiencing life.Ndio hiyo hiyo unalose self control,ndio maana baada ya tukio watu hujilaumu,losing self control leads to several risks,vitu ambavyo mara nyingi vinaweza kukufikisha kwenye hiyo hali ni pamoja na Chronic stress,Anxiety,na kuna ile hali mtu anajihisi powerless over his own life,once emotion spike drops,ndio unakutana na matokeo ya long time regreat and shame.
malezi mabovu,..Mapenz bhana kwani zamani watu waliwezaje jamni kucontrol hisia zao tenacwalikuwa mashababi na wenye nguvu
Sisi ni uwezo finyu wa kuchanganua mambo?matumiz ya bangi au nini jamn
hapo kwenye mimba shida ni mwanamkeNaongelea kufanya maamuzi ambayo hujajiandaa Kwa matokeo yake huku unayajua,mfano mkuu ni Dickson pale juu..kuna wanaojiandaa kama kweka na wasiojiandaa.
Shida ni wasiojiandaa huku wanajua matokeo na hawayataki.
Uliamua Nini kufanya ikiwa hukujiandaa Kwa matokeo?
Kijana unajua kabisa matokeo ya kufanya mapenzi bila Kinga ni mimba,unafanya pekupeku,kelele zinaanza ooh sizioni siku zangu unakula Kona..mnaanza kukimbizana huku na kule mimba huitaki matunzo huna.kabla hujamwaga kavu hukujua matokeo ni Nini?
Ulijua
Now matokeo unayakimbia kama sio uchizi ni Nini..
Kabla hukujua hauko tayari kuitwa baba?
Na haikuwa ndani ya uwezo wako kuepuka.
Ndio matokeo ya kuendeshwa na hisisa zaidi ya kufikiri?